naombeni ushauri

Shiwa

Member
Jun 22, 2017
5
2
usiku nikilala ikatokea nimeshtuka jicho langu moja linatoa machozi mengi nikifuta yanaongezeka zaidi na haliumi lakin naona tu machozi yanamiminika kwa muda mpaka nikisinzia linaacha. na hii hali imekua ikijirudia. ni tatizo gani??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom