Katika uzinduzi wa kiwanda cha Phillip-Morris, Morogoro, Rais wetu Dokta Magufuli, alirudia kuyakosoa mafuta ya kula yanayoletwa nchini kwamba hatujui kilichomo ndio maana tunapata ma kansa...
Nina tatizo la kuwashwa haswa nikipigwa na jua na kuamka huku nikiwa nina alama za kuchanjwa mgongoni na mgongo kuuma.
Haya matatizo yanatokana na nini?
Mdomo ukliwa umeathiriwa na bakteria kufuatia kutumiwa kama njia ya kufanya mapenzi
Saratani imeendelea kuwa tishio hapa nchini huku hofu ikiendelea kuikumba jamii kutokana na wataalamu wa afya...
Ma-daktari na waelevu mliojaa humu JF naomba mnisaidie coz nina tatizo, mnamo mwaka 2010 niliwahi kufanya operesheni ya korodani yangu ya upande wa kushoto baada ya kugundua kuwa imeanza kuvimba ...
Lips za mdomo wangu umekua mweusi kwa juu na chini alafu umefanya mstari mweusi pics umepasuka pasuka kama vile mnywa gongo.
Ni muda wa mwezi sasa nisaidieni nitumie dawa gani sina amani kabisa.
Moja kwa moja kwenye swali.
Hivi hospitali, ambazo wanauwezo wa kupima kundi la damu la mtu.. Na bima ya afya ya taifa yani NHIF inakubalika katika hospitali hiyo. vipimo hivyo nitaweza kupatiwa...
Moja ya mambo ambayo huwa nayo makini sana napokuwa na barafu wa moyo wangu ni kuangalia sehemu zake nyeti kwa umakini mkubwa. Huwa sometime napenda tu kumwona ameiachia wazi then mimi napaangalia...
Habari
wana jF nilikuwa naomba msaada wa maelekezo juu ya hospitali nzuri ya
masuala ya uzazi mke wangu anatatizo upande wa uzazi sasa nahitaji akafanyiwe vipimo
kuhusu uzazi Je ni hospitali ipi...
nipo arusha kwa siku kadhaa sasa.leo asubuhi hapa ofisini kuna jambo lilitokea mbalo kwa kiasi flani lilihatarisha hali ya utulivu ,amani na utengamano ambayo ilikuwepo ofisini. ndugu yetu mmoja...
Habari za jioni ndugu zangu. nilisafiri kwenda kijiji flani nikatumia maji sio salama. sasa nkapata typhoid yaaani imekataa kupona. nmepima mpaka ukimwi sina.
Tatizo nn?
Nina wiki mbili sasa nikifanya mapenzi na mpenzi wangu najishanga nikimpiga goli moja tu uume unalala na unachelewa kusimama.
Nanukuu anavyonambia ''wewe sio bure, mara wewe kama umenichoka...
Ndugu wadau kuna taarifa nimezisikia kuwa mwanaume aliyetahiriwa ana asilimia chache za kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi endapo atafanya mapenz na mtu aliyeathirika na vvu, je ni kweli?
Kwa muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kufika kileleni mapema wakati wa tendo la ndoa kwani dakika moja au mbili tu inanichukua kufyatua manii hali ambayo inaninyima raha na kuchukiwa...
Kwa ufupi
Ugonjwa wa kisukari ni miongoni mwa maradhi sugu ambayo yamekuwa yakiwapata watu wengi katika siku za karibuni. Hadi sasa hayana tiba mwafaka.
Lawrence Mashati (si jina lake halisi)...
Habari zenu wanajf , kama kichwa cha habari kiavyojieleza hapo juu
Nina mtoto wa umri wa miezi minne sasa, jana majira ya saa moja jioni mtoto alisusa kunyonya ziwa kutoka kwa mama yake, hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.