Naweza kupima kundi langu la damu hospitali, kwa gharama ya bima ya afya?

Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
4,738
3,195
Moja kwa moja kwenye swali.
Hivi hospitali, ambazo wanauwezo wa kupima kundi la damu la mtu.. Na bima ya afya ya taifa yani NHIF inakubalika katika hospitali hiyo. vipimo hivyo nitaweza kupatiwa, kwa kutumia hiyo bima ama ni lazima niwe na pesa cash?
kingine nataka kufahamu, kama bima hii ya afya inaweza kunigharamia check up ya afya ya mwili wangu wote, ama ni kwa vitu vichache katika kucheki hali ya afya ya mwili wangu, kama vile level ya sukari na mengine? nataka kufahamu kama huduma zipi, nitapatiwa kupitia bima ya afya ya taifa, kama nilivyoainisha hapo juu.
msaada tafadhali kwa wanaofahamu.
 
Hilo la kupima kundi la damu inawezekana.
Lakini pia NHIF wana list ya vipimo vingi ambavyo wanalipia.
Cha muhimu nenda hospitali,ongea na daktar wako kama kati ya vipimo unavyotaka havipo kwenye list ya vipimo vya NHIF basi watakupa utaratibu mwengine.
 
Kinachonishangaza ni kuwa kuna baadhi ya magonjwa hugharamiwa na NHIF katika baadhi ya hospitali lakini ukienda kwenye hospitali zingine hayagharamiwi.
 
Sawasawa, nimekuelewa vema mkuu.
 
Kinachonishangaza ni kuwa kuna baadhi ya magonjwa hugharamiwa na NHIF katika baadhi ya hospitali lakini ukienda kwenye hospitali zingine hayagharamiwi.
Doh inawezekana bhasi, kila hospitali inaingia mkataba wake na shirika.
 
Itabidi nami nipime, maana linaweza badilika....?
Hapana. Haliwezi kubadilika mkuu, kama ulishawahi kupima kundi lako ukalifahamu. Ulifanya vema, mimi sijifahamu kundi gani nipo ndo nahitaji kufahamu.
 
Hiyo mikataba inawatesa wateja kwa namna moja au nyingine
Sana, inatutesa.. Ingekuwa wameainisha mapema ama mteja kufahamu kabla ya kwenda sehemu husika ambapo unaweza kupatiwa huduma za kiafya.
 
Back
Top Bottom