Ushauri: Nikipiga goli moja uume unachelewa kusimama

Eliyo

Member
Mar 7, 2018
17
16
Nina wiki mbili sasa nikifanya mapenzi na mpenzi wangu najishanga nikimpiga goli moja tu uume unalala na unachelewa kusimama.

Nanukuu anavyonambia ''wewe sio bure, mara wewe kama umenichoka niambie mi nataka bado'' mwisho wa kunukuu.

Najikuta mpaka nataka nijiingize kwenye vishawiahi vya kutumia madawa ili tatizo nalitatuaje, ushauri wenu wana JF.
 
ChaPuTa io Mkuu,ila mi nataka aje mtaalamu atuelezea kuwa kunaweza mtu akapata tatizo kama lako na hata kama hajichui.
Nimesoma nyuzi nyingi zinahusiana na jambo kama lako lakini hakuna majibu sahihi zaidi ya makundi mengi ya watu wanachukulia tatizo lako mkuu linasababishwa na Nyeto.
Pole sana Mkuu




AbraDaVinci
 
Jamani nina wiki mbili sasa nikifanya mapenzi na mpenzi wangu najishanga nikimpiga gori moja tu tu uume unalala na unachelewa kuamuka dah nahaibika mwenzenu ushauri wenu nanukuu anavyonambiaga Oh wewe so bure mala Oh wewe kama umenichoka nambie mi nataka bado mwisho wa kunukuu dah najikuta mpaka nataka nijingize kwenye vishawiahi vya kutumia madawa dah ili tatizo nalotatuaje ushauri wenu wana JF
Tafuta demu mwingine ujaribu kama itakuwaje kisha lete mrejesho. Mimi ilishanitokeaga nikatafuta mpango wa dharura nilipiga usiku kucha mnara wala haushuki wala sikumbuki idadi ya magoli maana nilishindwa kuhesabu.
 
hapana.. huwa sometime hata bao mbili kitu kinakuwa kimesimama wima tu. ni suala la kisaikolojia. nliwahi wapa darasa vijana kuhusu suala la hili la kupiga bao zaidi ya moja bila mashine kulala... mbili kwa mpigo.... ni rahisi tu. tena inakuwa kama unafuta lile la kwanza so unaanza upya kutafuta waarabu waje.. unaweza chukua hata masaa mawili kama unafuata kanuni.. hapo wakija tena unaweza endelea ikiwa bado una moto wako .. au sas ando mashine italala kwa kuchoka kwa kazi ndefu............

kwani bao ngapi zinatakiwa ndo ulale? mimi najua bao moja tu kitu kinalala . ndo hivo naonaga kote nilikopitia
 
huyo dada ni mkeo/mpenzi wako?
mnatumia kondom au bila kondom?
unafanya naye bure au huwa unamlipa in kind? kama unamlipa pesa moja tu inatosha ila kama mnafanya naye kwa sababu ya upendo kwa kweli mpe haki yake... niliwahi toa darasa namna ya kupiga bao zaidi ya moja kwa mpigo.
Nina wiki mbili sasa nikifanya mapenzi na mpenzi wangu najishanga nikimpiga goli moja tu uume unalala na unachelewa kusimama.

Nanukuu anavyonambia ''wewe sio bure, mara wewe kama umenichoka niambie mi nataka bado'' mwisho wa kunukuu.

Najikuta mpaka nataka nijiingize kwenye vishawiahi vya kutumia madawa ili tatizo nalitatuaje, ushauri wenu wana JF.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom