Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wakuu habari, Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza, kuna mtu anatafuta dawa ya asili ya kutibu koromeo kuwasha... Yaan haipiti sekunde anafanya "ahha ahha " nafkiri mnajua huo mlio...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
habari ndugu jamaa na marafiki. nipo hapa kuwashauri na pia kuwasaidia, wote wanao sumbuliwa na vidonda vya tumbo! mimi niliwai kuumwa vidonda vya tumbo taklibani miaka 5. vilinitesa sana, kama...
5 Reactions
36 Replies
12K Views
Wakuu naulizia hospital nzuri ambayo inakushauri vizuri namna ya kupunguza pressure yako. Kwan naona hoapital nyingine ni kama wanakupa madawa tu unywe. Dawa unakunywa lakin still pressure bado...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Niaje wakuu... Mwenye kufahamu dawa ya kuondoa makovu ya ngozi naomba anitajie hapa jina kamili la dawa.. Iwe ya kupaka, kuchua au kunywa So 900 itapendeza sana.
0 Reactions
9 Replies
33K Views
Wakuu nina mwanangu mwenye miezi minne hivi ameanza kuvimba fizi za juu kuonesha ishara kwamba meno yanakaribia kuota watu wameniambia ni vibaya kwa mtoto kuanza kuota meno ya juu naombeni ukweli...
1 Reactions
8 Replies
17K Views
Napata maumivu kwenye meno nikitafuna vyakula kama karoti....nyama...n.k Msaada kwa mwenye kujua dawa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za jioni watu wa Mungu,naomba msaada mezani kwangu Nina hoja nimeletewa na mshirika Fulani kuwa yeye anatatizo La Sperm Infertility, Nikaona ni vema nikalileta humu kwenu madaktari...
1 Reactions
52 Replies
7K Views
Naomba ushauri nawashwa sehemu ya uume kuzunguka sehemu yote ya siri mpaka pumbu zinawasha sana mpaka sipati raha wakati nikifanya tendo la ndoa. Nimepima mkojo hakuna tatizo ila mkojo una rangi...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habarini Za Muamko Kizazi Cha JF.. Nipo hapa kuomba msaada juu ya tatizo hili..,nimalizapo kusex na mama watoto huwa nakuta mabaki ya damu kwenye vitambaa ambavyo hutumia kujifutia japo s...
2 Reactions
28 Replies
19K Views
Mtoto wangu ataanza kula wiki inayokuja maana anafikisha miezi sita naombeni diet nzuri sitaki anenepe sana kama mama yake maana hapa kananyonya tu ila ana 10 kg. nimpe chakula gani?
2 Reactions
54 Replies
24K Views
Daktari wa wanyama nchini Tanzania, Dkt. Obed Kiariro amedai kuna uwezekano mkubwa wa Paka anayefugwa majumbani hupelekea kuharibu ujauzito kwa binadamu endapo mnyama huyo hatopewa matunzo mazuri...
0 Reactions
30 Replies
13K Views
Habari zenu, Naomba kuuliza ni hosptali gani ambayo naweza kupata Dr. mzuri wa magonjwa ya kinamama tu (tumbo) Ahsante.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nini sababu ya mtu kukojoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa?? nini tiba yake(dawa)??
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kafanyiwa LEEP lakini Sasa alipoingia hedhi damu inatoka nyingi na siku zinapita tu hedhi haikomi. Leo anaenda tena Kwa Daktari wake,je humu kuna wajuzi wa chochote kuhusu hii condition...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nini sababu ya mtu kukojoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa?? nini tiba yake(dawa)??
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Wanawake wanaougua magonjwa ya figo hukabiliana na matatizo ya uzazi hasa kushindwa kushika mimba na hata kuharibika kwa mimba. Kutokana na hali hiyo madaktari hulazimika kuwasaidia kukomaza...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Waungwana naombeni ufafanuzi wenu juu ya tetesi/hoja kuwa kuchanganya asali pamoja na limao kwa wakati mmoja inaweza kupelekea kifo kwa mtumiaji kwa kigezo kuwa Mchanganyiko huo hugeuka kuwa sumu...
0 Reactions
164 Replies
105K Views
Nisaidieni mwenzenu jamani nimepata manzi mzuri balaa kaumbika idara zote nilikuwa sijui kumbe ana kipaji cha kukoroma,huu mwezi nalala kwa taabu sana najikuta mkesha..Saa hizi nipo kwenye ule uzi...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Hi People.. nahitahi tu kujua eti hapa Bongo ear surgery huwa inafanyika ili kuweka sawa visikio vilivyojitokeza sana.. Nina ndugu yangu anapata shida sana mpaka naona aanakuwa affected...
0 Reactions
9 Replies
994 Views
Back
Top Bottom