Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Hbr za pililkapilika wana jf leo ningependa kushare madaktari bingwa wa watoto kutokana na uzoefu kwa kutibiwa au kusikia kwa upande wangu daktari namba 1 nikikwama kabisaa kwny hosptal za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dah! Hivi mtu mdomo unavyonuka mwenyewe unakuwa husikii au!? Yan asubuh mida ya saa 3 nmepanda mwendokasi nmekaa na mtu mdomo kapuyaaaaa!! Af ye hana habari anaongea na simu tu tena kwa saut ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau.... ni hospitali gani naweza kwenda kumtibu mtoto mdogo wa 2yrs ambae mguu wake mmoja umepinda kidogo?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwenu wanabodi, Nimekuwa nimefanya utafiti katika kupata huduma ya macho ambayo yamenisumbua tokea darasa la 6,nilikataa kutumia miwani mpka nafika umri huu miaka 22 nimefika chuoni naona sasa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa kama tunavyofahamu mtoto pindi anapokuwa tumboni hupata chakula kupitia mama yake kile anachokula na kunywa lakini nilikuwa nataka kujua kwa sababu kila unachokula lazima ukitoe...
0 Reactions
24 Replies
12K Views
Jamani habari zenu kama title inavyojieleza hapo juu nina ndugu yangu ana tatizo la uume na jirani yake unakuwa wadogo na kuzama ndani naomba msaada wenu kwa wenye utaalamu juu ya hili
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Mimi hua nikipendana na mwanamke, akianza kunipa mzigo jua hapo amenitikisa. Yaani kwa wiki tunafanya siku 6 na nisha koma kukojoa nje. Yani nikikojoa ni ndani kwa ndani. Ila hashiki mimba. Na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mke wangu ni mjamzito anajskia maumivu ya mwili je ni sahih kutumia mifupen?
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Ndg wanataharuma, naomba kufahamu side effect ya matumizi ya Magic,, chemical inayotumika kunyolea hasahasa ndevu
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Kwanza habari za wakati huu, Mimi ni kijana kutoka jamii ya kimasai, wazazi wangu walinitoga masikio na kung'oa jino la chini kama mila na desturi za kabila letu. Sasa walinifanya hivyo nikiwa...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu,,naomba kufahamishwa bei ya knee replacement pale MOI.Na pia ningependa kujuwa kama bima ya afya ina cover upasuaji huo.Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
2 Replies
793 Views
Consider the pictures below
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama unapenda kula chips tafadhali soma hapa:- Ulaji wa chips umetajwa kuwa hatari kwa afya ya binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa figo, moyo , shinikizo la...
4 Reactions
44 Replies
14K Views
Wanajamii habari za Leo. Leo juma tatu tareh 19/03/2018 nimeenda na Mke wangu kupima ukimwi baada ya kuwa na mimba ya miezi sita. Kiukweli hili jambo la kupima ugonjwa huu siyo rahisi kabisa na...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni muda kama mwaka na kadhaa najamba mara kwa mara bila sauti,lakini inakera sababu ni nini; ila sina vidonda vya tumbo
0 Reactions
23 Replies
34K Views
Mafuta asilia yenye manukato Uhusiano kati ya matiti yasio ya kawaida ambayo humea miongoni mwa wavulana na utumizi wa mafuta ya mti wa lavender na ule wa chai umetoa uzito tofauti baada ya...
0 Reactions
2 Replies
962 Views
habari wakuu nna tatizo lakupat maumivu wakati wakukaa ila sio muda wote nimejichunguza kuna kijipu uchungu karibu na njia ya haja kubwa ila hakijaiva na nikikigusa hakiumi inaweza kuwa ndio...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mara baada ya kufanya ngono na mpenzi wangu alisema anahisi kama kuna uwazi halafu maji yanaingia. Je hii ni dalili ya kwamba mimba imeingia?
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mtoto wangu tangu azaliwe sijui ana janga gani alikuwa anapata choo mara moja kwa week nilimuuliza Dokta akasema haina shida sasa hivi ameanza kula misosi bado hapati choo fresh ukizingatia...
7 Reactions
47 Replies
5K Views
Nilitoka kusex na mke wangu mara baada ya kumaliza akaniambia anahisi tumboni mwake kama kuna tundu na maji yanaingia. Je hii inaweza ikawa dalili moja wapo ya ujauzito?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom