Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wakuu habarini,naomba kufahamu taratibu n gharama za kufanya vipimo vya moyo katika taasisi ya moyo ya jk.
1 Reactions
33 Replies
13K Views
Habari wapendwa, mimi ni Kijana wa umri wa miaka 27, Naishi Dar ingawa kiasili si mtu wa hapa, Natokea mikoani. Jambo lililonileta hapa ni moja kuomba ushauri. Kifupi nimekuwa na mahisiano ya...
3 Reactions
60 Replies
7K Views
Nasumbuliwa na jino limetoboka mm sitaki kulitowa naomb tiba ya kienyeji kwamaan wanasema watalam jino ukilitowa usipital linaanz lingine na kwel nimetowa jino la kwanz na saiz nasumbuliwa la pili
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Salam wandugu. Natumai mu-wazima nyote. Shukran, dhumuni la bandiko hili ni kama kichwa cha hii thread kinavyojieleza hapo juu. Naomba kujuzwa kwa sehemu ya Morogoro ni wapi naweza kupata huduma...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tatizo la kutokwa vijipu vidogo vidogo mwilini naombeni msaada mjukuu wangu wa kike anasumbuliwa na tatizo la kutokwa na vijipu vidogo vidogo mwilini
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Sorry hii inatokana na nini inanikera sana hii hali ukishapaka mafut mdomoni ili kulainisha mdomo baada ya mda Luna kuwa na utando nifanyeje ili hii hali isiwepo.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndugu zangu Mara nyingi hunitokea ghafla nagusa/napiga mkono vitu vikiwa mezani. Mfano naweza kuletewa chai lakini ghafla kunakuwa kama mtu kasukuma mkono wangu na kumwaga chai. Vivyo hivyo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ya asaiv wakuu,, naomba ushauri kina madhara ya kuoga maji ya chumvi katika ngozi
1 Reactions
0 Replies
8K Views
Wadau kama mada ilivyo wakati wa tendo mwenzangu analalamika kuwashwa sehemu za nje ukeni. Naomba ushauri, mawazo na tiba
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tatizo la Bp kwa sasa kwa miaka ya hivi karibu limeonekana kukua kwa kasi zaid ukilishana na kipindi cha nyuma, hii ni kutokana mfumo wa maisha tunayo ishi sio mzuri hasa katika mfumo wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu kama kichwa kinavojielewa naomba kujuzwa na anaye fahamu ni wapi Dodoma mjini wanatoa huduma ya kuweka meno ya bandia ya kudumu NB ukinitajia na bei nitashukuru zaidi
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Msaada jaman; Mm nina tatizo la kufa ganzi kwa mikono na miguu, sielewi chanzo cha tatzo n nn na cjui nitumie dawa gani.
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Msaada mwanangu anahalisha ana umri wa miezi 7 nimempeleka hospital kapatiwa vipimo vyote lakin hakuonekana na ugonjwa wowote, hivyo naombeni ushauri kwa yeyete mwenye utaalamu au uzooefu na mambo...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
I have been using tramadol since ages and I am now out of it just because my doctor thinks that I am getting addicted to it so he has prescribed me Tapentadol, But it is not working for me at all...
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Ningependa kujuzwa tatizo hili lasababishwa na nini? Kuna mtoto hapa mud huu kavimba taya. Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu. Huwa nikisoma vikaratasi vya maelekezo ya dawa, nakutana na ingredients zilizotumika kutengeneza hiyo dawa. Najiuliza, wanaotengeneza dawa wametengeneza hiyo dawa kwa kutumia...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Ni kuhusu HIV, wengi huu ugonjwa umetuathiri kama sio sisi basi ndugu zetu wa karibu. ARV’s kwa kweli amekuwa mkombombozi na wengi wanaishi kwa miaka mingi tena wakiwa na afya njema. Ukiwa...
1 Reactions
10 Replies
975 Views
Habari... Nina tatizo la kuhisi kiu ya maji kila baada ya dk 10-20 kwa wiki mbili sasa. kwa siku nakunywa maji lita mbili na nusu mpaka tatu, kiufupi najitahidi sana kunywa maji hata kama sina...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu age 26 kwa kifupi nina maisha mabaya mno especially kwenye saikolojia kwan nimekuwa nikisumbuliwa sana na msongo wa mawazo, napiga sana punyeto ntajitahid kuacha ...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
MSAADA KISAIKOLOJIA NINAANGAMIA Habari wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale. Sijui hata nianzie wapi muweze kunielewa. Mimi ni kijana umri 26 muhitimu wa chuo kikuu kwa sasa nipo tu nyumbani...
4 Reactions
99 Replies
12K Views
Back
Top Bottom