News Alert: jino linaniuma

Sep 17, 2016
22
6
Nasumbuliwa na jino limetoboka mm sitaki kulitowa naomb tiba ya kienyeji kwamaan wanasema watalam jino ukilitowa usipital linaanz lingine na kwel nimetowa jino la kwanz na saiz nasumbuliwa la pili
 
Pole sana....kuna jamaa yupo mmbande anakufunga dawa mkononi na hakuchanji wala nini unapona kabisa
 
Litaendelea kuchimbika kwa ndan kwasababu ya backtelia
Hasa walisafisha wanaua bacteria na kama una infection wanakupa antibiotics. Pia hao bacteria ndiyo wanahamia kwenye jino la pili uking’oa hilo.
Jenga tabia ya kusafisha meno mara mbili kwa siku angalau asubuhi na usiku kabla hujalala
 
Dawa ya jino si kung'oa, watu tunaishi na meno ambayo yalikuwa yametoboka kinywa chote. Nenda kwa dentist mzuri kama una pesa nenda Masaki kuna madentists wajerumani ila aliyenitibia alikuwa Prof. wa Kispanish walimzingua kipindi hiki Magu alipoingia akaondoka.
Utasafishwa, upewe dawa kama una uvimbe uishe. Utafanyiwa Root Canal watatoa nerves, wataziba kwa muda wa week halafu unaenda kuzibwa permanently. Kwisheni. Ukiniona utadhani nina meno kumbe ......
 
Nipo mbali sana mm nipo morogoro kilombelo
 
Hasa walisafisha wanaua bacteria na kama una infection wanakupa antibiotics. Pia hao bacteria ndiyo wanahamia kwenye juno la pili uking’oa hilo.
Jenga tabia ya kusafisha meno mara mbili kwa siku angalau asubuhi na usiku kabla hujalala
Wanakufa wote backtelia
 
Nasumbuliwa na jino limetoboka mm sitaki kulitowa naomb tiba ya kienyeji kwamaan wanasema watalam jino ukilitowa usipital linaanz lingine na kwel nimetowa jino la kwanz na saiz nasumbuliwa la pili
TUPIGIE OMEGA DENTAL CARE TUATIBU MENO BILA KUNG'OA KWA TIBA YA KUDUMU 0754008502
 
Nipo mbali sana mm nipo morogoro kilombelo
Ok kwa sasa wewe tumia Aspirin. Mimi siyo daktari ila natumia uzoefu wangu. Upunguze uvimbe wakati huo unasukutua maji ya chumvi ya uvuguvugu ila mwone dentist haraka angalau wakusafishe. Utapewa kidonge cha kukutoa maumivu kama wanacho au labda sindano. Kama hawezi kukuziba ata ku refer kwingine kama Moro. Using'oe meno ila yale wisdom teeth mimi niling'oa baadh ni bure kabisa.
 
Pole sana jino linauma balaa na pia hizi dawa za kutuliza maumivu na zenyewe mbaya sana kwa afya ya figo,nenda kang'oe mkuu kama la nyuma ila kama la sebuleni basi kalizibe au nenda kwa specialist wakate nerve zinazoenda kwnye jino hilo.
 
Hasa walisafisha wanaua bacteria na kama una infection wanakupa antibiotics. Pia hao bacteria ndiyo wanahamia kwenye juno la pili uking’oa hilo.
Jenga tabia ya kusafisha meno mara mbili kwa siku angalau asubuhi na usiku kabla hujalala
Watu wana tabia ya kusafisha meno kabla ya Breakfast basi wakijitahidi kabla ya kulala. Kawaida ukitaka kulinda meno, kila baada ya mlo, sukutua siyo kabla. Na muhimu watu wasisahau kusukutua ulimi na gums sababu zinabeba wadudu kibao. Kama huna muda wa kusukutua mchana, nunua gums zenye mint zinasaidia kidogo ingawa sina uhakika.
 
Kuna wanaokwenda ofisi ni na toothbrushes baada ya lunch wanakwenda bafuni kusafisha neno. Ukweli ninabeba mswaki kama ninakuona dentist baada ya kazi
 
Ok kwa sasa wewe tumia Aspirin. Mimi siyo daktari ila natumia uzoefu wangu. Upunguze uvimbe wakati huo unasukutua maji ya chumvi ya uvuguvugu ila mwone dentist haraka angalau wakusafishe. Utapewa kidonge cha kukutoa maumivu kama wanacho au labda sindano. Kama hawezi kukuziba ata ku refer kwingine kama Moro. Using'oe meno ila yale wisdom teeth mimi niling'oa baadh ni bure kabisa.
Nashukulu kwa ushauli wako
 
Back
Top Bottom