Acha uongo!!!Hamna mkuu
Huyu aliyekuambia laki 5 amekupotosha.
KWA WANAOTUMIA BIMA
Km unatumia bima ya afya basi bima yako ita cover gharama zote za matibabu.
mfano bima za NHIF, NSSF, STRATEGIES,PPF, METROPOLITAN, JUBILEE, RESOLUTION,NIC,
KWA WANAOLIPIA CASH: km una rufaa ya kutoka hospitali za chini uende pale na shs 65000 kwaajili ya vipimo vya moyo na kumuona daktari(jumla). Hii ndio gharama ya mwanzo .
Km ni mgonjwa wa private andaa shs 130000 ya gharama za kumuona docta na vipimo mkuu. Inatosha kabisa(jumla). Ni hayo tu
Hvo ni vyema ukafika pale kwenye jengo lao ili kuweka appointment ya kuonana na daktari kwanza kabla ya yote na wenyewe watakupa taratibu zote
Source : nilienda mwenyewe nikapewa mchanganuo wa gharama zote
Nashukuru mkuu nitakwenda pale nikapate hudumaHamna mkuu

Acha kuishi kwa mazoea kiongozi.Acha uongo!!!
Kwa taarifa yako muhimbili hata uje Na rufaa Ni lazima wakufanyie vipimo upya!! Na kulipia hivyo vipimo Ni lazima, labda awe Na bima ya afya!
Vinginevyo hiyo 130,000/- haitasaidia kitu!!
Ndio hvo ndugu yangu pale ukiwa na bima ya afya utapata matibabu.Naam
Na pia kwa kukusaidia tu ni kua hizo gharama unazosema za kupimwa upya tayari zimejumuishwa kwenye hyo shs 65000 kwa mgonjwa wa rufaa na 130000 kwa mgonjwa wa private.Acha uongo!!!
Kwa taarifa yako muhimbili hata uje Na rufaa Ni lazima wakufanyie vipimo upya!! Na kulipia hivyo vipimo Ni lazima, labda awe Na bima ya afya!
Vinginevyo hiyo 130,000/- haitasaidia kitu!!
Mkuuu nikitaka kupata rufaa inabidi niende mfano mwananyamala nikaombe rufaa au inabidi niende kama mgonjwa wao ndowaangalie kama kunaulazima wakunipa rufaaaNa pia kwa kukusaidia tu ni kua hizo gharama unazosema za kupimwa upya tayari zimejumuishwa kwenye hyo shs 65000 kwa mgonjwa wa rufaa na 130000 kwa mgonjwa wa private.
Acha uongo!!!
Kwa taarifa yako muhimbili hata uje Na rufaa Ni lazima wakufanyie vipimo upya!! Na kulipia hivyo vipimo Ni lazima, labda awe Na bima ya afya!
Vinginevyo hiyo 130,000/- haitasaidia kitu!!
nashukuru sana mkuu najiandaa kesho niendeUsikimbilie kumwambia mtu muongo wakati hujamuelewa alichokisema.
Hivi wewe ni DAUDI ALBERT BASHITE umeona hapa ndo pakuondolea stress zako.
Anyway ipo hivi ni kweli lazima wakufanyie vipimo.
Lakini gharama hazibadili kama alivyoainisha hapo juu.
Mkuu unanichekesha!Usikimbilie kumwambia mtu muongo wakati hujamuelewa alichokisema.
Hivi wewe ni DAUDI ALBERT BASHITE umeona hapa ndo pakuondolea stress zako.
Anyway ipo hivi ni kweli lazima wakufanyie vipimo.
Lakini gharama hazibadili kama alivyoainisha hapo juu.
Mkuu unanichekesha!
Ya huyo Bashite yanakujaje huku??
Ni hivi, wife WANGU anafanyiwa operation jumatatu hapa JK heart Institute! Naongea ninacho experience mkuu!!