Tatizo la kutokwa vijipu mwilini

Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
7,554
9,531
Tatizo la kutokwa vijipu vidogo vidogo mwilini naombeni msaada mjukuu wangu wa kike anasumbuliwa na tatizo la kutokwa na vijipu vidogo vidogo mwilini
 
Muombe daktari akuandikie mkafanye blood culture maabara baada ya hapo watajua dawa mtakazo pewa.
 
Muombe daktari akuandikie mkafanye blood culture maabara baada ya hapo watajua dawa mtakazo pewa.
Ubarikiwe nilikuwa nimesafiri muda mrefu nimemkuta na hiyo hali ngoja kesho nimpeleke jeshini wakamcheki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom