Msaada : Wapi naweza kupata huduma ya METHADON kwa eneo la Morogoro

KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,160
5,741
Salam wandugu.

Natumai mu-wazima nyote. Shukran, dhumuni la bandiko hili ni kama kichwa cha hii thread kinavyojieleza hapo juu.

Naomba kujuzwa kwa sehemu ya Morogoro ni wapi naweza kupata huduma ya dawa za Methadon (NI DAWA WANAZOKULA WAATHIRIKA WA MADAWA YA KULEVYA). Kama kuna mwenye kufaham sehem au hospitali husika naomba anielekeze au anipe taarifa, taratibu za kujiunga, na wapi kilipo kituo hiko nina ndugu yangu anahitaji huduma hii ila yupo Morogoro.

Natanguliza shukran za dhati kwenu wadau wote wa jukwaa hili. Ahsante.

Nawasilisha.
 
So sad! Unga....! RIP Mtanzania mwenzangu

Yah, unga mbaya sana aisee.

Alikosa pesa ya kuvuta akakwapua mahali basi raia wenye hasira kali wakamchoma moto mkuu.
 
Back
Top Bottom