Wanajamvi naombeni mnijuze, kuna madhara gani yanayoletwa na uvutaji wa kaya? mentally and physically, na kama kuna faida yake, wenye ujuzi na hili jamani tunaomba mtufunze nasi.
========
Tumekua...
Ningependa nitoe maoni yangu kuhusu magonjwa yasiyoambukiza nikilenga magonjwa aina mbili kisukari na shinikizo la juu la damu. Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la magonjwa haya hususani kipindi...
Baada ya kutafakari kwa kina nimegundua UKIMWI sio ugonjwa ila ni biashara ya big pharmaceutical industries.
Hebu jaribu kufatilia na wewe, kwanini ugonjwa huu umepewa kipaumbele kikubwa hivyo na...
Ana ujauzito wa miezi 5,nimejaribu kwenda hospitali mara kazaa wanasema ni hali ya kawaida.japo mtoto anacheza vizuri tu ila hii hali inanifanya nikose amani.kwani kabla ya hapo huku nyuma...
Baada ya kujamiana na MTU mwenye magonjwa ya ngono unachukua muda
Gani dalili kuonekana kwenye uume?
Maana duu,
Msaada wenu ni muhimu wajuzi
Muwe na asubuhi njema
Kwa wenye tatizo la tezi dume ni pm nikuelekeze kutengeneza dawa bure au nitext whatssap kwa namba 0628944712 nikuelekeze kutengeneza dawa bila malipo hata ya shilingi moja.
Ukihitaji...
Habarini!?
Naomba msaada wataalamu ni miezi miwili sasa tangu nijiunge na uzazi wa mpango ili kurahisisha kupanga uzazi sasa tatizo ni kuwa sina hamu tena na tendo sina kabisa sijisikii chochote...
Habari zenu na poleni kwa majukumu
Naombeni ushauri wenu, nina kiuvimbe shingoni upande wa kulia kimenitokea toka mwezi wa 3 mpaka leo hakijaisha. Pia naskia maumivu kwenye koo kama vile na...
Habari wadau ! Nina sumbuliwa na vijipele kama hivo kwenye sehem ya haja kubwa madaktar wa humu naomba mnisaidie dawa au ushauri manake haviumi ila kuna muda vinawasha tu ! Msaada tafadhali...
Wadau wa afya salam.
Nini chanzo cha mtoto kuwa na kitovu kikubwa kama puto? Na je, mtu akisha kuwa na kitovu hicho, kuna dawa ya kukifanya kiwe kidogo?
Mtu anaweza fanyiwa upasuaji kukiondoa...
Wakuu hii link nimeitoa sehem, yupo jamaa anakiri dawa yake ya 3deops inatibu magonjwa mengi gusa link uingie muulize chochote kuhus magonjwa na tiba njoo tujifunze kwa pamojaCLICK TO JOIN...
Hello wakuu, naomba kuuliza hivi mbona siku za hivi karibuni matangazo redioni ya kupima na kuanza kutumia ARVs mapema yamekuwa mengi sana na haipiti sekunde, tangazo hilo hapo, mbaya zaidi kwa...
Hello Jf
Nina mtoto ana miezi miwili, siku ya leo amenisumbua mno. Anakua kama kuna kitu kinamkera sababu halii ila anajikuna kichwani na kukunja sura nikichelewa kumshika analia japo sio kwa...
Wadau habari za kazi,
Naombeni msaada, nina binti yangu wa miaka 8 anasumbuliwa na tatizo la kuwashwa. Akianza kuwashwa anajikuna sana,tumeisha enda baadhi ya hospitali lakini bado ufumbuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.