Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wakuu naomba kuuliza ni nini kinasaidia kupiga chafia Mara kwa Mara na hii inapelekea kuwasha kwa macho ,yaani hii inaenda pamoja unapiga chafia sana na macho kuwasha ,vilevile pua huwa zinaziba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The heart is the engine inside your body that keeps everything operational. In principle, the heart is a muscular pump that maintains oxygen and blood circulation through your lungs and body...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari za weekend waungwana, je kuna ukweli wowote kuwa mwanaume/ wanamke asipofanya mapenzi kwa muda mrefu, siku akifanya atapata chunusi usoni na sehemu za siri? Kwa sehemu za siri zinakuwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ningependa kujua kama mfuko wa bima ya afya NHIF unagharamia utengenezwaji wa miwani
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natumai kuwa mwaendelea vyema kabisa. Ndg zangu wataalam na madactari wote humu ndani.... Lengo la kuleta uzi huu kwenu nikwamba nina hitaji ushauri ambao utakuwa msaada juu yahili Juzi...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wadau tatizo LA stroke limekuwa kama LA kawaida, pressure inakuwa kubwa hadi kupasua mishipa au kusababisha kuvilia damu!!!mama angu kakumbwa na shida hiyo,je kuna dawa ya kuponyesha tatizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
unaweza kufanya mapenzi na mwanamke aliye na virusi vya ukimwi huku akiwa anatumia dozi na usipate maambukizi yake kama utayafanya haya yafuatayo? ukamwandaa huku yeye sehemu zake zikiwa tayari...
0 Reactions
23 Replies
67K Views
Nasumbuliwa na u.t.i mda mrefu pia nmetibu na dawa nyingi inarud hvi tatzo ni nini?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakubwa asee marakwanza kwenda chumvini sasa juzi nimeangalia kwenye kinywa changu nimeogopa mno asee sijui nshapata wadudu naombeni dawa kwa wazoefu wa hizi kazi
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari za mda huu wadau! Mungu amejalia wife kitumbo kimejaa,sasa changamoto inayonikumba ni haya mabadiliko yake ya kila siku naomba msaada wa mawazo ama njia gani tutumie 1. Kula amekua hataki...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari za jioni wataalamu, kama kichwa cha mada kielezavyo mke wangu kajifungua ana miezi mitatu sasa ziwa lake moja upande wa kulia linamuuma mno, kabla ya kujifungua palikuwa na ka uvimbe...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Habari wa jf, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nina tatizo la ngozi ambalo nimedumu nalo kwa muda wa miaka 6 mpaka hivi sasa, nilitokewa na vipele ndani ya tabaka la ngozi ya juu vipele...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari zenu wana jukwaa.kama inavyofahamika JF DOCTOR ni moja ya majukwaa ambayo watu wengi wenye matatizo ya kiafya uwasilisha matatizo yao wakitaraji kupata msaada wa ushauri pamoja na maelekezo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari jf doctors hivi karibuni nimekuwa nikisumbuliwa na kiungulia kwenye tumbo katikati ya kifua na maumivu kwa mbali sehem ya mbavu ya kulia karibu na tumbo kama dakika mbili hadi tano, pamoja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimejikuta nikinywa pombe kila siku hasa ninapotoka home ,ndani hakukaliki hujikuta naenda bar.Naombeni msaada namna ya kuacha.
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari. Naomba kujua kama naweza pata matibabu kwa dawa asili kwa uvimbe wa kwenye koo Polyp . Kwani hadi sasa nishafanyiwa operesheni mbili na uvimbe umerudi tena.
1 Reactions
4 Replies
4K Views
KANSA ya kizazi husababishwa na virus vijulikanavyo Kama human papilloma. Hivi virus huathiri viumbe vilivyo kwenye jamii ya wanyama na kila aina ya virusi vina aina maalum ya mnyama...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwanini inaitwa Mwaisela?
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Habari zenu wandugu..? niende kwenye mada Binafsi naomba kufahamu ni kitu gani kitatokea endapo msichana/mwanamke atatumia dawa za kuongeza nguvu za kiume ambazo zimewekwa maalum kwa ajili ya...
3 Reactions
72 Replies
7K Views
Mgonjwa yoyote aliyeko Kitandani kabla ya Kufa husema sana na mara kwa mara haya maneno yafuatayo hivyo kama ukiyasikia jua kuwa maandalizi ya Msiba yanatakiwa yawe ya haraka sana na taratibu...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Back
Top Bottom