🩺 Elimu ya Afya Leo: Usawa wa Homoni kwa Mwanamke – Hatua ya Maisha na Afya ya Mzunguko wa Hedhi
📲 IG: @hillary_officialtz
❓ Ni Nini Hormonal Imbalance? Ni hali ambapo kiwango cha homoni mwilini...
Barani Afrika, dawa za saratani zimegundulika kuwa duni au bandia, hali inayomaanisha kuwa wagonjwa wanapewa dawa ambazo ama hazifanyi kazi au zinaweza hata kuwadhuru.
Takwimu mpya zinaonyesha...
Watu wengi huvumilia mkojo kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali. Baadhi wanaweza wakawa katika eneo ambalo hawezi kwenda haja ndogo lakini wengine ni uzembe ambapo wengi utakuta anaangalia...
Habari za Asubuhi
Naomba anayefahamu namna ya kufika KIBAHA hospital.
Ni hospital ya serikali na kwa maelezo machache pia Ina madaktari wazuri wa macho.
Binafsi natokea Tabata Kinyerezi na...
Una experience yoyote ya mgonjwa aliyeshawahi patwa na huo ugonjwa?
Nishasikia hadithi za kusikitisha na kukatisha tamaa jinsi wakunga wetu Bongo walivyo wazembe kuwasaidia kina mama wanaoshikwa...
Preeclampsia ni nini?
Preeclampsia ni tatizo kubwa la ujauzito ambalo linaweza kusababishwa na matatizo kadhaa madogo madogo kutokea yote kwa wakati mmoja. Unaweza kupata shinikizo la damu...
Wavulana wengi wamekuwa wakiathirika sana na tatizo hili la kujichua, hasa wanapokuwa katika shule na vyuo, mchezo huu wa kujichua wamekuwa wakiutumia sana.
Sababu kuu inayopelekea kujichua ni...
Wakuu
Jana nimekutana na dem yupo bleed,
Maswali
1. Je naweza kupata risk gani kwa zile damu zake ?
2. Anaweza kupata mimba akiwa kwenye hali ya ku bleed?
3. Vipi kuhusu possibility ya kupata...
Audio:
UKIMWI: Hali na Tahadhari
Chanzo: Aise wakuu UKIMWI ni noma
Habari Wakuu.
Juzi nilienda Ubungo maji kumsalimia rafiki yangu alikuwa anaumwa. Kwakuwa nilienda mida mibovu na story...
ULTRASOUND NI NINI ? :
Imeandaliwa na:
Hillary Francis Ndeng'aso
| Radiology Technologist | Mtaalamu wa Mionzi | Health Educator |
Elimu muhimu kuhusu Ultrasound teknolojia salama na isiyo na...
Habar wakuu nauliza.. je Kuna madhara yoyote kwa mtoto wa miaka9 kufanya x ray ya mgongo mara mbili ndani ya siku mbili katika hospital tofaut kama mzazi unataka kuhakikisha maradhi ya mtoto...
Wakuu habari!,nimehamia makazi mapya huku mbezi, lkn toka niingie kwenye hii nyumba tabu tupu, karibu kila Siku lazima tuue tandu.
Msaada wenu wadau kwa ajili ya tahadhari. Nasikia mdudu tandu...
Wadau:
Kila siku asubuhi nikiamka mgegedo wangu huwa unasimama hadi unakuwa mgumu sana halafu unauma sana, Hali hiyo hudumu kwa takribani dakika arobaini hivi halafu inaondoka, dawa Yake ni...
Ni ulemavu unaotokana na mabadiliko ya vinasaba (DNA code) ambapo baadhi ya code au nitrogenous bases zinaundoshwa na kuwekwa zingine hii kwa ulibinism husababishwa na vichocheo kushidwa kusapot...
Mwayo ni tendo la kufungua mdomo kwa mapana na kuvuta pumzi ndefu polepole, mara nyingi likifuatwa na kutoa sauti ya kawaida. Ni tendo la hiari au lisilo la hiari ambalo hutokea kwa watu na hata...
Hello wanajukwaa, nimekuja ndugu yenu ninahitaji msaada wenu.
Mume wangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa miaka sasa na ameshatumia dawa za kila aina. Changamoto ya sasa anasema anapata...
Chafya ni mfumo wa ulinzi wa mwili kusaidia kuweka njia ya hewa safi.
Tunapiga chafya kwa sababu mwili unajaribu kuondoa vitu visivyotakiwa kwenye pua au njia ya hewa, kama vile:
1. Vumbi...
Wakuu habari ya wakati huu.
Naombeni ushauri au anayejua tiba ya uume kusinyaa kabla ya tendo la ndoa. Limekuwa tatizo ambalo linanipa mawazo sana.
Msaada tafadhali