Habari wanajukwaa?
Mtoto wangu ana miezi mitatu na siku kadhaa, shingo yake bado haijakaza, ukimkalisha anainamisha shingo kwa mbele, yaani anaangalia chini.
Hii hali inanitia wasiwasi, naombeni...
Kila usiku ninapokaribia kulala, napata hali kama ya homa na nahisi baridi. Kichwa kinakuwa kizito kana kwamba nataka kutapika, lakini siwezi kutapika. Wakati mwingine ninajisikia kama...
Unapata matibabu ugonjwa haundoki mwilini kwa muda mrefu....
Unaweza ambukiza kijiji kizima kabla hujaanza kuona madhara yake...
Unaweza ng'ooka mjegeje au kupukutisha Kipochi manyoya chote...
Habari zenu wanajamii naomba ufafanuzi juu ya tumbo langu inafika siku linanguruma sana hlf nikienda haja napata choo kilain kiufupi huwa naharisha mwisho choo kinakuwa kama makamasi ila hii hali...
Habari great thinkers.
Nimekuwa msomaji kwa muda mrefu sana humu, ila imenilazimu nijiunge ili nitoe nilichonacho maana ninahisi kuzidiwa moyoni sipati kulala usiku. Nahitaji ushauri.
Mimi ni...
Mimi Kila nikifanya mapenzi na mke wangu tukimaliza baada ya siku Moja anatokwa na chunusi usoni kipele kimoja au viwili hivi hili imekaaje wataalam wa Afya?
Habari za Mida Wakuu.
Nina changamoto kwenye Koo langu nikiwa Nina meza mate Kuna Kama utando kwenye Koo
( yaani Kama kunakitu kimeganda)
Sipati maumivu yoyoe wakati wa kula, Nameza vizuri tu...
Naombwa kujuzwa kisayansi hii imekaaje mpaka kisimi/ kinembe kinakuwa na sexual arousal kubwa?
Na hasa unapokisugua na kichwa cha uume?
Tafadhali tusaidiane kisayansi ili tudumishe mahusiano yetu.
Habari za muda huu wakuu!
Wataalam wa mambo kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mtoto wangu ana umri wa miezi minne, amekuwa akipata tatizo la kutopata choo kwa wakati. Anaweza akakaa hata wiki...
Kuna imani potofu kuwa kutahiri mtoto akiwa mdogo husababisha uume kuwa mdogo ukubwani, au kwamba ukichelewesha, uume utakua zaidi, hii si kweli.
Nchi kama Marekani yenye watu wa asili nyingi na...
Kumekua na Changamoto mbalimbali zitokanazo na matumizi ya dawa kwa watu mbalimbali,wengine hujihisi kuwashwa mara baada ya kutumia dawa fulani ,wengine hujihisi kuchoka mara baada ya kutumia dawa...
1. Drink water this morning. Your kidneys will thank you.
2. Eat at least an egg today. Your brain will thank you.
3. Exercise for at least 30 minutes today or take a long walk. Your heart will...
Na Gladness Mallya
Msanii bonge wa filamu Bongo ambaye hivi karibuni alieleza kusumbuliwa na tumbo chini ya kitovu (chango), Efrancyia Mangii ameshauriwa kufanya jitihada za kuzaa ili kuepukana...
Unaweza ku imagine kuishi huku unajua kuna funza wapo hai ndani kabisa ya sikio lako, na wanapata chakula, hewa na mahitaji yote wanayohitaji ili kuishi.
Ufahamu ugonjwa wa OTOMYIASIS...
🧠 Elimu ya Afya Leo: AFYA YA AKILI (Mental Health)
📲 IG: @hillary_officialtz
❓ AFYA YA AKILI NI NINI HASA?
Fikiria afya ya akili kama utulivu wa nafsi. Ni uwezo wako wa ndani wa kukabiliana na...
Kwa mara ya kwanza, dunia imepiga hatua kubwa katika mapambano dhidi ya malaria baada ya kuidhinishwa kwa tiba maalum ya malaria kwa watoto wachanga na wadogo wenye uzito wa chini ya kilo 4.5...
Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya...
🩺 ELIMU YA AFYA KWA JAMII: KISUKARI (DIABETES)
📲 IG: @hillary_officialtz
1. KISUKARI NI NINI?
Fikiria mwili wako kama gari linalohitaji mafuta (sukari kutoka kwenye chakula) ili liweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.