Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Kwema? Kuna mmoja kati ya watu wangu wa karibu anasumbuliwa na hili hapa tatizo. Naombeni msaada wenu "Tatizo langu natokwa na damu isiyokata toka 29/6 mpka Leo imepungua Kasi Ila inatok kidogo...
2 Reactions
6 Replies
444 Views
Naomba kufahamu ni hospital gani au Dr gani anaweza saidia tiba ya tezi dume. Mzee wangu ameonekana na tezi dume kwa vipimo vya awali. Mgonjwa yupo Morogoro.
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Anaomba ushauri huwa amepata tatizo la kuwashwa mwili sasa akawa anajikuna sana mpaka akatoka vidonda kwenye uume pia makalioni, na kila akijikuna sehemu zingine za mwili anatoka vidonda na...
0 Reactions
5 Replies
345 Views
Wadau naleta mrejesho kwenu nadhani wiki mbili zilizopita niliwahadithia kisa changu cha kupasuka kondom wakati nikifanya mapenz na demu ambaye siijui background yake NA wasiwasi wangu ulinijia...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za wakati Huu, Naomba kwa mtu aliyewahi kupona tatizo la kutembelewa na vitu mwilin kama vile mkononi, mgongoni atusaidie dawa yake ni nini? Au kama kuna mtaalamu (Daktari) anayejua...
0 Reactions
8 Replies
617 Views
Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili.
1 Reactions
2 Replies
350 Views
Wakuu nisaidie dawa ya jino la kutibu au kutuliza maana hali ninayoihisi ni hatari mno. Tafadhali msaada wenu.
1 Reactions
296 Replies
22K Views
A Comprehensive Guide to Men's Kegel Exercises Kegel exercises, originally developed by Dr. Arnold H. Kegel in the 1940s, are designed to strengthen the pelvic floor muscles. In men, these muscles...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Leo tunazungumzia jambo la muhimu sana linalogusa uhai, afya na heshima ya familia nyingi. Ni jambo ambalo wengi hulisikia kwa unyonge au kulifumbia macho kwa aibu, lakini...
0 Reactions
5 Replies
999 Views
Habari wakuu! Niende Moja Kwa moja katika story niliyopitia mwaka 2009 nilibatika kuanza kazi mkoa fulani Kwa kweli sikuwa mtu wa maneno mengi ni kazi tu Basi akatokea Binti mmoja. Tukapendana...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Baadhi ya vyakula hulegeza misuli ya LES (Lower Esophageal Sphincter) hivyo husababisha kuruhusu asidi ya tumbo kurudi juu. Pia huchelewesha mmeng’enyo wa chakula, hivyo chakula hubaki tumboni...
4 Reactions
1 Replies
996 Views
VITAFUNWA VYA ASILI Habari za wakati huu. Nimeamua kuja na mada hii baada ya kuulizwa na mdau na mpenzi wa tiba asili yakua " ni vipi vitafunwa vya asili ambavyo naweza kuvila hasa asubuhi...
2 Reactions
1 Replies
501 Views
Visunzua Sehemu Za Siri: Visunzua sehemu za siri vinavyojulikana kitaalamu kama genital warts ni vinyama vidogo vinavyoota sehemu za siri kutokana na maambukizi ya HPV (Human Papillomavirus)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenzenu nahitaji ushauri. Kwa muda muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la wakati wa tendo la ndoa, baada ya kupiga bao moja huwa nakuwa hoi kabisa. Kama nikitaka la pili lazima niuze...
0 Reactions
99 Replies
27K Views
Habari wana jf!!nahitaji msaada wa kujua ni sabuni gani nzuri kwa ajili ya kusafisha papuchi kwasababu kwa baadhi ya post humu kuna sabuni zimetajwa sio nzuri na moja wapo nilikuwa natumia inaitwa...
0 Reactions
66 Replies
27K Views
Mara nyingi watu huzungumzia madhara ya kuvaa pempas kwa anaefanyiwa au kuziba kwa mirija kwa anaefanya, ila nimeshangaa kuona pia kitendo hiki hupelekea mwanamke kutoshika mimba. Mwanaume...
3 Reactions
7 Replies
596 Views
Habari wana Jf. Mimi n Mwanaume mwenye miaka 30, Nipo kwenye ndoa takriban 4yrs. Ndan ya hyo miaka sijabahitika kupata mtoto, nikahamasika kwenda hospital kupata vipimo na mke wngu ndipo ika...
3 Reactions
23 Replies
7K Views
Hii aina ya spasms hata madocta& wazazi wengi hawaifahamu, hii inaweza kuchelewesha matibabu kwa watoto Dalili kuu niapamoja na 1. Kuchelewa kukua kwa mtoto (hatua za ukuaji) 2. Kushtuka mara kwa...
0 Reactions
5 Replies
311 Views
Habari wakuu Leo ni alhamisi na kwa watu wapenda viti virefu na kamnyweso wao wameshaanza wikiendi tayari, lakini tunapoelekea kwenye wikiendi hebu tujikumbushe jambo moja la muhimu hususani afya...
1 Reactions
1 Replies
356 Views
Msaada tafadhali wakuu Hivi mwanamke mwenye uvimbe tumboni namaanisha kwenye mfuko wa uzazi uterus anaweza shika mimba na kuzaa?
3 Reactions
14 Replies
962 Views
Back
Top Bottom