Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wasalaaamu,. Tuko na wapangaji wetu hapa,. Ni mtu na mke wake lakini sio watu wazima ni vijana tu wa kawaida... Huyu Binti mwaka jana mwezi wa10 tarehe za mwanzoni alijifungua mtoto( sikumbuki...
9 Reactions
99 Replies
3K Views
Wakuu, juzi kati hapa nilipatwa na kahoma nikawa sielewi elewi mwili wangu huu vipi. Basi mimi na JF Doctaz Jukwaa la Afya ni sehemu yangu ya kupokea maarifa mawili mawili matatu kuhusu magonjwa...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Mm bado ntabaki na msimamo wangu uleule kwamba hawa ndugu zetu tuliowatoa ubavuni mwetu japo ni watamu lakini pia wanatusababishia matatizo makubwa mno. HISTORIA YA KWELI Mnamo mwaka juzi mwezi...
59 Reactions
444 Replies
39K Views
Humu ntaenda kuwatajia vitu ambavo wanawake hawapendi. Cha kwanza1.harufu mbaya.2uvutaji sigara.VINGINE MNAWEZA MKAENGEZEA HAPO.VITU GANI AMBAVO WANAWAKE HAMVIPENDI KUTOKA KWA MWANAUME.
1 Reactions
11 Replies
481 Views
Nasikia maumivu wakati wa kukoja nimeenda kupima majibu ndo hayo: numerous pus cell urine :seem no ova no parasite. Je? Hilo gonjwa gani? Na nini dawa yake.
0 Reactions
32 Replies
15K Views
Habari za wakati huu, Kwa mwenye tatizo la JINO kuuma kwa kupekechwa na hatakama lina tobo katikati au otherwise njoo pm au piga moja kea moja 0711553826 nikupatie dawa nauza dukani kwa 3000/- tu...
3 Reactions
7 Replies
575 Views
Habari! Leo nimeona niwasaidie kuwatajia dawa ya asili ya Bawasili ya uhakika, nimewahi kuwasaidia wagonjwa wengi tatizo la Bawasili na wakapona. DAWA 1. Mizizi ya mmea unaoitwa 9 disemba...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wadau msaada wenu nlikua namafua makali kwa siku kadhaa kama tatu,,nkawa napiga chafya sana,napiga chafya mara nyingi Hadi mafua yalipoisha bila kutumia dawa yoyote ya mafua Sasa baada...
1 Reactions
2 Replies
289 Views
Kaam umeshawai kuugua au kuona mgonjwa wa herpes tuelimishe ugonjwa unakuaje. Usituletee ya kwene vitabu tuambie from Experience!! Ulikuja kujuaje na uliponaje
1 Reactions
27 Replies
2K Views
GROUP A Hawa tunaweza kuwaita ni vegetarians wanahitaji sana mananasi na zabibu kwa wingi. Watu wenye damu ya kundi hili Mara nyingi ni wale watu ambao tunaweza kusema hawaambiliki yaani wakiamua...
4 Reactions
8 Replies
8K Views
Ndiyo, korodani moja bado inaweza kuzalisha mbegu za kiume za kutosha na kumwezesha mwanaume kutungisha mimba. Hali ya kuwa na korodani moja kwa mwanaume hujulikana kwa kitaalamu kama Monorchism...
0 Reactions
5 Replies
759 Views
Poleni na majukumu ndugu zanguni . Ni siku nyingine tena tunakaribia kuifunga Mwenyezi Mungu ametujalia kwa tuliobahatika kuiona na tunapoelekea kuifunga . Mimi ni kijana umri wangu miaka 30 ...
9 Reactions
52 Replies
3K Views
Habari Wakuu, Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo. Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu. Katika kipindi hicho...
17 Reactions
170 Replies
9K Views
..
1 Reactions
4 Replies
236 Views
Humu jukwaani Kuna madaktari,manesi,wakunga, wataalamu wa tiba mbadala,na wabobezi wa masuala ya afya,hivyo Uzi huu ni maalumu kwa wale wote wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali Una ndugu yako...
2 Reactions
13 Replies
924 Views
Kupiga Punyeto: Punyeto (kujichua) ni kitendo cha kusisimua kiungo cha uzazi (uume/uke) kwa kutumia kitu tofauti na kiungo cha uzazi kwa lengo la kujiridhisha kingono. Madhara Ya Punyeto: Ikiwa...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Kumwaga Nje: Ndiyo, mwanamke anaweza kupata mimba hata kama mwanaume akimwaga shahawa nje ya uke. Hii ni kwa sababu kuu zifuatazo: 1) Majimaji Ya Mwanzo (Pre-Cum) Yanaweza Kuwa Na Mbegu. Kabla ya...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Wadau na wataalamu, naombeni msaada nimeenda hospitali kupima seminal analysis nikaambiwa sperm count =0 wakanipa dawa za kutumia kwa mwezi then nikapime tena. Je naweza pona, nisaidieni please...
1 Reactions
75 Replies
20K Views
Naombeni msaada wa kitabibu nina tatizo la kujamba sana wakati wa kulala sanasana kipindi cha Alfajiri. Sina shida yoyote ya tumbo ila asubuhi nakuwa nalipuka haswa. Naombeni ushauri..
6 Reactions
173 Replies
20K Views
Back
Top Bottom