Ninajamba sana ifikapo asubuhi

Unashindwa kuzuia ushuzi au unajiachia tu , Maana kama unajamba bila kutegemea yaani unashtuka upepo ushatoka hapo kuna tatizo lakini kama unakuja wewe unauachia na kuuongezea speed ili usijaze gesi chafu tumboni wala hakuna shida.

Na kama unaishi peke hakuna unayemsumbua wewe achia tu hiyo mishuzi.
 
Epuka kula chakula I mean heavy food hasa inapovuka saa tatu ya usiku, jitahidi kula matunda kwa wingi hasa unapokwenda kulala ili kuondoa tatizo hilo! Ulaji wa Chakula kizito kama ugali au wali pindi inapovuka saa tatu ya usiku hupelekea chakula kutokumeng'enywa kwa wakati na badala yake kinabaki kama sumu mwilini, that's why unajamba sana mkuu!
 
Epuka kula chakula I mean heavy food hasa inapovuka saa tatu ya usiku, jitahidi kula matunda kwa wingi hasa unapokwenda kulala ili kuondoa tatizo hilo! Ulaji wa Chakula kizito kama ugali au wali pindi inapovuka saa tatu ya usiku hakimeng'enywi na badala yake kinabaki kama sumu tumboni that's why unajamba sana mkuu!
mwisho wangu kula ni saa kumi na mbili jioni na nakula tu matunda ila bado hali ni ile ile
 
Unashindwa kuzuia ushuzi au unajiachia tu , Maana kama unajamba bila kutegemea yaani unashtuka upepo ushatoka hapo kuna tatizo lakini kama unakuja wewe unauachia na kuuongezea speed ili usijaze gesi chafu tumboni wala hakuna shida.

Na kama unaishi peke hakuna unayemsumbua wewe achia tu hiyo mishuzi.
vingine inabidi nisindikize mengine yanalipuka tu yenyewe angani
 
Matatizo kama haya yako yawezekana ni tumbo kujaa gesi jaribu magnesium pia nahisi una brain disorder kidogo katika mambo haya kisaikolojia umemubali tatizo lako jaribu kumuona Doctor
naomba unieleze
narudia tena nenda kapime typhoid .

Halafu kuhusu kupata choo kikubwa hakisumbui ?
choo kikubwa hakisumbui kabisa ,hata mchana sina shida yoyote ya tumbo inapofika mapambazuko tu ndo milipuko
 
Back
Top Bottom