Wakuu ni mwezi Sasa Kila siku ninakula karanga robo kilo ,nimejikuta naongezeka mindevu Kama Osama
Je ni nn kipo kwenye karanga kinachopelekea ndevu kujaa?
wakuu poleni na majukumu nimeleta uzi huu nikiwa naimani wahusika wapo ambao wanatumia jf
Wilaya ya chunya ni moja ya wilaya kongwe Sana apa nchini lakini chakushangaza hospitali yetu haifanyiwi...
Habari,
Nina mpenzi wangu ana mtoto wa miezi 11. Kuna shida imempata wakati wa hedhi yake kwani anatoka mabonge meusi ya damu halafu usiku tumbo linamuuma sana upande wa kushoto chini ya kitovu...
Habari zenu wapendwa,
Natumai mwaendelea vema na kurudumu la maisha haya!! Ila mimi kijana mwenzenu maradhi yameuteka mwili wangu.
Historia ya ugonjwa wangu ulivyoanza.
Nimekuja hapa mbele...
Tukiwa katika zama ambazo magonjwa ni mengi, kupokezana kilita kiafya imekaaje? Maana unakuta watu midomo ipauka na kukatika tunazungusha kilita bila tatizo.
Kiafya hapo vipi?
Habari wakuu, nina ndugu tangu ana shida eczema(pumu ya ngozi) naomba kujua wapi tutapata speciliast mzuri na bei zao maana hatuna bima.
napatikana Dar
Salam wanajamvi, moja moja kwenye hoja. Nina bwana mdogo ni HIV+ kwa sasa ana miezi 3 tangu aanze kutumia dawa za arv, kwa upande wa afya anaendelea poa sana, coz kabla hajaanza dawa alidrop...
Habari zenu!
Tafadhali naomba msaada wa ushauri. Nina ndugu yangu (wa kike - miaka 50) ambaye ni mwathirika wa UKIMWI (miaka kama minne sasa toka apime). Shida ni kuwa huwa hataki kunywa dawa...
Habari
Kuna haya matatizo mawili ambayo hayajazungumziwa sana na mimi ningeomba kueleweshwa au shuhuda mbalimbali za namna ya kupona maana haya matatizo ya aina hii yanaonekana kusumbua watu...
Habari wana JF,siku za nyuma nishawahi kuandika hapa uzi unaohusiana na tatizo langu la kutokushika mimba mbali na kuwa sijawahi kutumia dawa yoyote ya uzazi wa mpango nimehangaika kwa...
Wakuu habari ya siku,naombeni maana nimekuja kwenye jukwaa mahususi,niende moja kwa moja kujieleza,mim(Me)ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno hasa wakat wa kuamka(muda wowote ktk maana ya nikilala...
Habari wakuu,
Naomba anayefahamu zinakopatikana dawa za anxiety disorders anisaidie.
Ninasumbuliwa na tatizo la bipolar disorder na anxiety, linanifanya nakuwa na hasira sana hata kwa vitu...
Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu.Kila mti au mmea una makusudio yake.
Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi,vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika...
Nina ndugu yangu anaishi mkoa Tanga wilaya ya Mkinga ameumwa na Paka tumetafuta dawa hadi Hospitali ya Bombo hatujapata, tukaambiwa tujaribu Hospitali ya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam...
Wasalaam Wapendwa..
Naamini niko kwenye jukwaa sahihi..
Niko kwenye ndoa changa..Tangu tufunge ndoa na my lovely wife hatujawahi kuenjoy tendo la ndoa..She's a virgin..And every time when i try...
Mi msichana miaka 25 nasumbuliwa na maumivu kwenye titi la kulia linauma nikilibonyeza upande wa kulia na nikilalia nahic ugumu flani hiv wa chuchu tofauti na jingine laweza kua tatizo gani mana...
Wapendwa habari zenu poleni na majukumu ya kila siku,nimekuja mbele zenu nina tatizo naomba ufafanunuzi na ushauri.
Nina mpenzi wangu amepata tatizo ghafla na sasa ni takribani miezi tisa sasa...