Msaada uume kutosimama

icca

Senior Member
Nov 8, 2014
180
169
Wapendwa habari zenu poleni na majukumu ya kila siku,nimekuja mbele zenu nina tatizo naomba ufafanunuzi na ushauri.

Nina mpenzi wangu amepata tatizo ghafla na sasa ni takribani miezi tisa sasa uume wake umekua hausimami ata asubuhi akiamka tumejaribu kwenda hospital amepewa dawa lakini bado hazimsaidii

Jf doctor tunaombeni ushauri wenu atumie nini au aende hospital gani ili arudi katika hali yake ya kawaida?
Natanguliza shukrani za dhati,
 
Tafadhali eleza kwa kina chanzo cha tatizo ili wadau wawezekukupa ushauri makini. Nawasilisha
 
kwa namna alivonieleza ilikua ghafla kaamka asubuhi na akuona'morning glory' akona kawaida ila siku zilivozidi kwenda ndo likawa tatizo namna io na hospital ameenda wamempa dawa ila sasa ndo hazijasaidia
 
Nipe umri wake nipe ajira yake na nipe mwelekeo wa ajira yake tangia kuingia madarakani kwa huyu ngosha.
Tatizo lipo kichwani zaidi ya mwilini.
Je akibanwa mkojo dushe inasimama vizuri?
 
kwa namna alivonieleza ilikua ghafla kaamka asubuhi na akuona'morning glory' akona kawaida ila siku zilivozidi kwenda ndo likawa tatizo namna io na hospital ameenda wamempa dawa ila sasa ndo hazijasaidia
Mshauri akapime kisukari na pressure .
 
umeona tatizo ili uweze muombea ushauri vzr inapaswa ujue chanzo cha tatizo km ni stress za kazi,mlo mbovu,ngiri,punyeto(ni common sana siku hizi)..umri mnk labda ana sukari...uzito wake yan uje kuomba ushauri na full data khs shm ht kama unamsaliti kisiri useme mnk kitu chochote kinachosumbua kichwa na mwili ni tatizo kwa afya ya mb**
 
kwa namna alivonieleza ilikua ghafla kaamka asubuhi na akuona'morning glory' akona kawaida ila siku zilivozidi kwenda ndo likawa tatizo namna io na hospital ameenda wamempa dawa ila sasa ndo hazijasaidia
Mimi ningeshauri lakini kiswahili chako unachoandika sikielewi,unandika kama Kisomali mara kama Kikenya.
 
Mletee bonge la demu lina mtako kama cherokee lizuri halafu toto jeupe likitwerk mbele yake teh teh kitu mnara fasta tena atapiga bao kabisa
 
kwa namna alivonieleza ilikua ghafla kaamka asubuhi na akuona'morning glory' akona kawaida ila siku zilivozidi kwenda ndo likawa tatizo namna io na hospital ameenda wamempa dawa ila sasa ndo hazijasaidia
Kwani mkiwa kwenye mechi napo haisimami??
 
Wapendwa habari zenu poleni na majukumu ya kila siku,nimekuja mbele zenu nina tatizo naomba ufafanunuzi na ushauri.

Nina mpenzi wangu amepata tatizo ghafla na sasa ni takribani miezi tisa sasa uume wake umekua hausimami ata asubuhi akiamka tumejaribu kwenda hospital amepewa dawa lakini bado hazimsaidii

Jf doctor tunaombeni ushauri wenu atumie nini au aende hospital gani ili arudi katika hali yake ya kawaida?
Natanguliza shukrani za dhati,
nitafute hapa whats appp 0712505049

gharama ni elfu 20 wengi wanepona

Kama alikuwa anatumia sana dawa za kujibost (Energy drink na pombe kali nazo znachangia ) . Wew unahtaji iwe inacmama asubuh awe anashiriki kidogo apo tuweke sawa pia
 
Wapendwa habari zenu poleni na majukumu ya kila siku,nimekuja mbele zenu nina tatizo naomba ufafanunuzi na ushauri.

Nina mpenzi wangu amepata tatizo ghafla na sasa ni takribani miezi tisa sasa uume wake umekua hausimami ata asubuhi akiamka tumejaribu kwenda hospital amepewa dawa lakini bado hazimsaidii

Jf doctor tunaombeni ushauri wenu atumie nini au aende hospital gani ili arudi katika hali yake ya kawaida?
Natanguliza shukrani za dhati,
Nicheki watsap 0692422869
 
Back
Top Bottom