Aisatu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 784
- 335
Wakuu habari ya siku,naombeni maana nimekuja kwenye jukwaa mahususi,niende moja kwa moja kujieleza,mim(Me)ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno hasa wakat wa kuamka(muda wowote ktk maana ya nikilala hata zaid ya masaa 2 au 3 iwe usiku au mchana),hii imekuwa zaidi ya mwezi sasa,nilienda hospital nikajieleza akasema inaweza kuwa UTI nikapima lkn sikuwa nayo daktar akanipa dawa ya kusugu sehem hiyo na ya kutuliza maumivu lkn nimetumia lkn bado hakuna hata mabadiliko.Wakuu mwenye uelewa au tiba ya hii kitu naomba mnosaidie.shukran kwenu natanguliza.