Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 14,996
Wasalaam Wapendwa..
Naamini niko kwenye jukwaa sahihi..
Niko kwenye ndoa changa..Tangu tufunge ndoa na my lovely wife hatujawahi kuenjoy tendo la ndoa..She's a virgin..And every time when i try to chop her toto she cries a lot hadi namuonea huruma..We have been postponing this "mummy and daddy's" game for months now..
Je kuna sehemu nakosea? (As mi mwenyewe ni virgin) au wife anaweza kuwa na tatizo jingine(gynecologists mnaweza kunisaidia).
Je kuna styles au lubricants za kutumia kufanikisha hili zoezi(wajuzi wa mambo mnaweza kunisaidia)..
Natanguliza shukrani..