nasumbuliwa na ninapokula dagaa au samaki kibua mwili unawasha na kutoka vipele naembeni kujuzwa dawa gani inanifaa
asante mkuu ngoja nijaribuMkuu pole sana kwa tatizo lako. Unaweza kujaribu antihistamine kwa mfano Diphenhydramine inaweza kusaidia.Unaweza kumeza kama saa moja kabla ya kula,inaweza saidia ingawa sidhani kama kuna tiba sahihi ya tatizo. Zingatia ushauri wa bbade. Pole sana kwa tatizo lako.