Hakuna dawa ya aliyeumwa na Paka, labda Kenya!!

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
997
828
Nina ndugu yangu anaishi mkoa Tanga wilaya ya Mkinga ameumwa na Paka tumetafuta dawa hadi Hospitali ya Bombo hatujapata, tukaambiwa tujaribu Hospitali ya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam nimewasiliana na ndugu zangu waliopohuko wasema labda tujaribu kutafuta nchini Kenya.
 
Tafuta sindano inaitwa ANT-RABIES INJECTION hii kama kinga baada ya kung'atwa na mbwa,paka..
Kumbuka sindano hii ni prescription by the doctor,nenda kwanza hospital
 
eeeeh jamani
Mungu amponye.... ila akipona asirudie Tena alichokifanya
 
kama kadokoa chakula inamaana asifungiwe na kupigwa kidogo?
mkuu ukimchoka ni bora umpe sumu akajifie mbele ila usijaribu kabisa kujifungia chumbani na paka kisha ujitie kumbadilikia na kumgusa,,akishaona hakuna pa kutokea paka hubadilika na kuvimba huku akitoa mlio mkali na kukuonyesha meno yake makali na macho yake yanakua madoogo,,,hapo ndani hutakoka ukiwa hai mkuu,,paka akichukia ni hatari sana
 
Back
Top Bottom