Msaada wa specialist mzuri wa ngozi

esiankiki

JF-Expert Member
May 13, 2014
486
658
Habari wakuu, nina ndugu tangu ana shida eczema(pumu ya ngozi) naomba kujua wapi tutapata speciliast mzuri na bei zao maana hatuna bima.
napatikana Dar
 
Ningekushauri pale ekenywa mwembe chai ila dokta yule mtabe alikuwa anaitwa dokta ole alifariki sijui kama kuna aliyemwachia ujuzi wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom