Mpenzi wangu ana mtoto wa miezi 11, wakati wa hedhi anatokwa na mabonge ya damu na kuumwa tumbo

E

Emmily360

New Member
Joined
Jul 15, 2018
Messages
1
Points
20
E

Emmily360

New Member
Joined Jul 15, 2018
1 20
Habari,

Nina mpenzi wangu ana mtoto wa miezi 11. Kuna shida imempata wakati wa hedhi yake kwani anatoka mabonge meusi ya damu halafu usiku tumbo linamuuma sana upande wa kushoto chini ya kitovu.

Nimejaribu kumuuliza kama alishawahi pata hili tatizo lakin akasema hajawahi kuona hiyo shida.

Naomba kama kuna mtu mwenye idea yeyote juu ya hili swala anisaidie
 

Forum statistics

Threads 1,342,677
Members 514,746
Posts 32,759,569
Top