Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Pole kwa majukumu wana jamii. Nina changamoto ya kiafya, mwaka 2023 nilipa bahati ya kupata kazi sehemu kwa muda wa mwaka mmoja na zaidi, wakati wa kipindi hicho sikuweza kutoka nje ya eneo langu...
0 Reactions
12 Replies
872 Views
Vumbi hili lina majina mengi sana nayo ni Kasongo, Mundende, putururu, Mpesu, nk. Vumbi hili si vumbi kama vumbi la stoo, barabarani, shambani nk. Hili ni vumbi linalotokana mizizi au Magome ya...
21 Reactions
147 Replies
61K Views
Wakuu nisaidieni hili jambo. Nilienda kunyooshwa mkono (ulijikunja baada ya ajari), nikapigwa nusu kaputi sababu ulikua stiff ili.ukinyooka nifanyiwe surgery. Sasa umenyooshwa na nimewekewa pop...
0 Reactions
2 Replies
300 Views
JamiiForums iliwasiliana na Dkt. Hellen Makwani, Daktari Bingwa wa Saratani na Tiba Shufaa, ili kufafanua kwa undani madhara yanayoweza kusababishwa na CT scan, baada ya mtumiaji wa jukwaa kuuliza...
0 Reactions
1 Replies
584 Views
Hii dawa ni ya kienyeji! Hii dawa imesaidia watu wengi na vidonda vya tumbo kwao imebaki historia. Ni dawa ya maji kwa mgonjwa ambae vidonda vina muda mrefu atapaswa kupata doz 2 mpaka 3 na kwa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Nina ndugu yangu amepata changamoto ya anal fistula amefanyiwa operation mbili tatizo lipo katika hatua za awali anatokwa na maji kidonda hakifungi na mwezi 6 mwaka huu wamemfanyia operation...
1 Reactions
13 Replies
699 Views
Wakuu, najua humu jukwaani hususani kwenye hili jukwaa la Afya kuna watu wengi wenye maarifa mbalimbali yahusuyo afya, magonjwa na tiba. Sasa kuna hili tatizo nimekua nikiliona nimeona kwa mtu wa...
3 Reactions
55 Replies
2K Views
Wakuu, ngoja leo niseme jambo moja ambalo nimepatwa nalo hapa katikati nilipokua kwenye mihangaiko yangu ya kutaka kukipata kilinda afya yangu ili nisipatwe na STI bila kutarajia sababu...
3 Reactions
7 Replies
445 Views
wakuu kama heading inavoeleza apo. naon kitambi kinakuja kwa kasi ya 5g tangu february adi saiv naon kbsa tumbo linakua mno sio kwamba na maisha mazur hapana, maisha yang ya kuunga unga tu ila na...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Je, umewahi kuhisi uvimbe au maumivu kwenye kinena, tumbo au kitovu? Unaweza kudhani ni kawaida, lakini ukweli ni kwamba dalili hizi mara nyingi huashiria ugonjwa wa ngiri — na kama hautatibiwa...
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Suala la uzazi hasa kwa karne hii imekuwa ni changamoto sana. Idadi kubwa ya wanawake inakumbwa na changamoto.za uzazi kwa wakati na pengine kupelekea utasa. Lipo jambo moja ambapo umri wa...
2 Reactions
0 Replies
299 Views
Tatizo la Presha kuwa juu Ugonjwa wa presha kuwa juu ni miongoni mwa magonjwa yanayowakumba watu wengi kwa sasa katika jamii. Kutokuwa na elimu sahihi ya ugonnjwa huu pamoja na kuwa na imani...
11 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wadau. Naomba kufahamu hospitalini ambayo ina wataalam wa magonjwa ya kina mama ama gynaecologist mzuri kwa hapa Dar es Salaam. Mpenzi wangu ana tatizo la maumivu wakati wa ngono, hii...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Men and women generally agree, garlic on the breath isn't pleasant. But according to a new study, men who eat garlic actually smell more pleasant and attractive to the opposite sex—not their...
3 Reactions
172 Replies
228K Views
Habari za muda huu madaktari, Napenda kupokea ushauri wa kitabibu kutoka kwenu maana kuna mtoto wa Dada yangu alipitia yafuatayo wakati wa kuzaliwa:- 1.UJAUZITO zile tarehe za makadirio...
0 Reactions
22 Replies
13K Views
Hili ni moja ya zoezi dogo sana lakini ukilifanya mara kwa mara na ikawa mazoea huleta matokeo chanya, zoezi lenyewe:- Ukitaka kwenda haja ndogo yaani kukojoa kwanza usikojoe kwa kusimama fanya...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Kuna muda unaweza kuchana nywele alafu ukashangaa vitu kama cheche za moto/umeme zinaonekana kwa mbali. Jaribu mida ya usiku/gizani uone. hii inasababisha na nini wataalam?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu wajuzi, nina mtoto wa miezi 9 ila nimesafiri takribani week mbili sasa na huku nilipo nilikamja maziwa yangu siku moja tu, je nikirudi naweza mnyonyesha? Kuna imani kuwa maziwa ya Mama...
2 Reactions
8 Replies
638 Views
The following are some electro Cell food that support life, none hybrid one supports life. Alkaline Grains Amaranth, Fonio, Kamut, Quinoa, Rye, Spelt, Tef, Wild Rice. Vegetables Amaranth greens...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Je, wewe n mmoja wapo ya wale wanunuao sabuni kwa kufata manukato pasi na kujali viambata viitengenezayo sabuni husika? Hili ni moja wapo ya zoea baya la walaji wa bidhaa mbali mbali nnchini...
1 Reactions
9 Replies
996 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…