Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Kuna maneno yapo mtaani wanasema hiyo dawa ya Malaria itwayo Mseto inasemekana inaumiza figo. Je, ni kweli? Naomba ufafanuzi kwa wafamasia au madaktari bingwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bila shaka mpo vizuri wadau, Baba yangu yupo Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa majuma matatu sasa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya koo. Madaktari wanasema imeenea sana hadi kwenye ini, hivyo...
14 Reactions
125 Replies
20K Views
Habari wakuu. Mke wangu amejifungua mtoto wa kike, naomba kuuliza natakiwa kushiriki tendo la ndoa na mke wangu mpaka mtoto afikishe umri gani? Naogopa kumdhuru mtoto wangu maana watu wanasema...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu Tumezoea kuona watoto wakati wanaota meno kwa mara ya kwanza yanatokea mawili kwa taya la chini. Wa kwangu ameanza kuota meno mawili taya la juu. Hii inamaanisha nini? Nifanyeje? Sent using...
1 Reactions
16 Replies
18K Views
Bwana Yesu asifiwe, Assaalam aleykum wapendwa katika Bwana [emoji120] Wana JF bila kupoteza muda niwashirikishe hili jambo. Nimekuwa na kasumba ya kupenda kutafuna karanga ambazo tayari zimeisha...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Ukilala ukaamka ukiwa na mistari mistari kama mikwaruzo kama umekatwa na nyasi mwilini inaweza kuwa ni shida gani imetokea?
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Nahitaji kufanyiwa Intrauterine insemination (IUI), maana tumejaribu kawaida inashindikana, napata wapi hiyo huduma hapa Tanzania na itagharimu kiasi gani, wajuzi mje kunisaidia.
2 Reactions
63 Replies
17K Views
Wadau naombeni tuelekezane aina ya vyakula na virutubisho vinavyohitajika, na ni kwa kiasi gani kwa mlo mmoja au kwa siku nzima. Nawasilisha
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za muda huu wanajamvi. Niingie moja kwa moja kwenye lengo mahususi la uzi huu. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Leo ni siku ya tatu kuna maumivu yamezuka ghafla mithili ya mtu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari mkuu, Naomba msaada nina mtoto wa miaka 4 na nusu ana tatizo hajaongea na uelewa wa mambo kama kujisaidia, Nachomtuma bado hana pia hana utulivu hata darasani hapendi kukaa kusikiliza ila...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Siku zote nilikuwa sikubaliani na madai hayo.Kwa mara ya kwanza leo,nimesanda.Pamoja na hayo yote, hakika yahitaji moyo, kufanya mapenzi kwenye kipindi hicho cha hedhi. Kipindi cha hedhi,hata mke...
0 Reactions
117 Replies
29K Views
ALAMA/ISHARA/DALILI ZA MWILI WAKO ZITAKUFAHAMISHA OVULATION IMEWADIA OVULATION ni hali ya kutoka kwa yai la kike baada ya kukomaa kutoka kwenye follicle baada ya kukua na kukomaa katika...
4 Reactions
7 Replies
40K Views
Wakuu nina tatizo la kuwashwa sehemu zote za mwili, Hii hutokea kama sijanywa pombe ila nikinywa pombe tatizo huisha, pia pombe ikiisha mwilini ama kichwani tatizo hujirudia. Na mimi ni mnywaji...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari za saa hii Naomba kusaidiwa mwanangu wa kike amebakwa na mtu bahati mbaya mtu huyo aliyembaka amekimbia. Nimechukua PF3 polisi nikampeleka zahanati nimeambiwa huduma atapatiwa kesho...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Kwa mtu anayefahamu anisaidie dawa nina mdogo wangu yaani imekuwa nii kero kwake mpaka anashindwa kuwa huru sababu ya jasho hilo.
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Kuna jamaa yangu amejijengea tabia ya kutumia Valium kila wiki vidonge viwili. J.tatu usiku kimoja na Ijumaa usiku kimoja. Anasema ana zaidi ya miaka kumi amekuwa akifanya hivyo. Amejaribu sana...
0 Reactions
9 Replies
18K Views
Habari ndugu zangu, pole sana na majukumu. Ni matumaini yangu nitapata msaada hapa kutoka kwenu. Nafanya kazi katika Kampuni kubwa ya michezo ya bahati nasibu, hivyo basi huwa kuna shifti kama...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Wakuu nahitaji kulisha ubongo wa kabinti kangu ambako kana takribani miaka mitano ila nahitaji kawe genius school na nyumbani pia. Hebu nipeni muongozo kwa wataalamu wa haya mambo vyakula gani...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…