Msaada kwa mtu anayetoa jasho kwapani lenye harufu kali

Sep 4, 2016
62
41
Kwa mtu anayefahamu anisaidie dawa nina mdogo wangu yaani imekuwa nii kero kwake mpaka anashindwa kuwa huru sababu ya jasho hilo.
 
Pole. There are couple of things he needs to do.

Kwanza, mwambie ale tui la nazi au awe anatafuna nazi nusu kwa siku kila siku for two weeks then anapumzika kidogo then anaendelea. Nazi has proven to improve skin structure hence to prevent the skin from making much sweat. That improvement mean kile kinachotoka kwenye ngozi ni jasho lisilo na vimeng'enya vingine zaidi tu ya maji.

Pili, mwambie awe anatumia deodorant ile yenye kimpira kama cha golf kwa juu. Ile akijipaka pia huzuia kutoka kwa jasho jingi. Ziadi zaidi, azingatie usafi kama kunyoa makwapa na kuoga mara kwa mara.
 
Pole. There are couple of things he needs to do.
Kwanza mwambie ale tui la nazi au awe anatafuna nazi nusu kwa siku kila siku for two weeks then anapumzika kidogo then anaendelea. Nazi has proven to improve skin structure hence to prevent the skin from making much sweat. That improvement mean kile kinachotoka kwenye ngozi ni jasho lisilo na vimeng'enya vingine zaidi tu ya maji.
Pili mwambie awe anatumia deodorant ile yenye kimpira kama cha golf kwa juu. Ile akijipaka pia huzuia kutoka kwa jasho jingi...
Ziadi zaidi, azingatie usafi kama kunyoa makwapa na kuoga mara kwa mara.
Sorry hiyo diodorant unaikumbuka jina naomba plz.
 
Back
Top Bottom