Rodgers Bernard
Member
- Oct 14, 2018
- 66
- 62
Bila shaka mpo vizuri wadau,
Baba yangu yupo Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa majuma matatu sasa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya koo. Madaktari wanasema imeenea sana hadi kwenye ini, hivyo hamna namna yoyote ya kumtibu. Walichomsaidia juzi wamemfanyia operation wakamwekea mpira wa chakula halafu watamruhusu arudi nyumbani.
Hii ina maana anasubiria kufa tu, naombeni mwenye experience ya ugonjwa huu kwani inauma sana sikia tu kwa jirani yasikukute!