Bin Shaib
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,434
- 1,363
Bwana Yesu asifiwe, Assaalam aleykum wapendwa katika Bwana [emoji120]
Wana JF bila kupoteza muda niwashirikishe hili jambo. Nimekuwa na kasumba ya kupenda kutafuna karanga ambazo tayari zimeisha kaangwa. Yaani nisipo tafuna huwa sijisikii kabisa nionapo tu karanga zinauzwa lazima ninunue japo za Tsh 500.
Hadi najishangaa kwa sasa ndo imezidi niwapo hata nyumbani huwa nahisi hamu kabisa ya karanga. Humu ndani bila shaka kuna wajuvi ningependa waniondoe hofu, labda kuna madhara yoyote kuhusu hili?