MSAADA: Hospitali gani inatoa huduma ya kuingiziwa mbegu za kiume (IUI) hapa nchini?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Nahitaji kufanyiwa Intrauterine insemination (IUI), maana tumejaribu kawaida inashindikana, napata wapi hiyo huduma hapa Tanzania na itagharimu kiasi gani, wajuzi mje kunisaidia.
 
Duuu bongo sidhani! Ila imeshindikana namna gani kwa njia ya kawaida?
 
Nafahamu inapatikana Tanzania ila sijui ni hospital gani ila ni ya wahindi msaada plz kwa anayejua
 
Siku hizi mambo ni kwa msaada wa google...zama na search ...nimeingia sehemu nimekuta namba hii hivyo piga
07665009015
 
Toa maelezo ya kutosha imeshindikana vipi? Nani tatizo wakati wazungu wanateleza. Usije ikingizwa manii zingine
 
Back
Top Bottom