Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari zenu wanabodi! Mojakwamoja niende kwenye jambo langu linalonitatiza mpaka nikaona bora nililete kwenu kwa maana nina amini kwenye msemo unaosema "problem shared problem solved"! Hivyo basi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The Chinese doctors who arrived in Italy yesterday to collaborate with our specialized teams are spreading this message. Please read it carefully and run it with your contacts. Thank you...
3 Reactions
3 Replies
910 Views
Ugonjwa wa Surua (Measles): Chanzo, maambukizi, dalili, athari, matibabu na kinga #1 Surua ni mojawapo ya magonjwa ya kuambukiza yanayotisha kwa binadamu. Huu ni ugonjwa ulio na kiwango cha juu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nguvu za kiume ni neno linalotumika kumaanisha uwezo wa mwanamme kufanya tendo la ndoa kikamilifu na kwa mafanikio, na inapokuwa tofauti na hivi inaitwa upungufu wa nguvu za kiume. Dawa ya mvinye...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Disclaimer: Kutokana na katazo lililo tolewa na wizara ya Afya juu ya utolewaji wa Elimu kuhusu Virus vya Corona ( Covid-19) napenda kuchukua muda huu kukanusha kua huu uzi hauna lengo la kukiuka...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar za usiku jf doctor Naomba mnisaidie Mdogo wangu anatatzo la kutokwa na uvimbe mdogo mdogo kwenye ngozi ambapo siye kwa kiswahili cha buguruni tunaita kututumka au kuumuka kwa ngozi ambako...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, Kuna swala huwa silielewi kwenye macho yangu, Macho yangu huwa yana change color, yanakuwa red hasa kipindi nikiwa katika maandalizi ya kugegeda au katika tendi lenyewe.. ila baada ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari.! Anayejua dawa ya kupata usingizi tofaut na valium ambazo kwa sasa hazipo tena madukani naomba anisaidie. Shukrani.
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari za usiku wana JF matumaini yangu muwazima wa afya kuhusu Corona tunaomba Mungu hatutetee. Duniani kweli kuna mambo katika pitapita yangu nimekutana na picha ya mgongwa wa loa loa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu! Niingie moja kwa moja kwenye mada, Mama yangu alikuwa na malaria alikunywa dawa mara baada ya kumaliza dose alipata tatizo la tumbo kujaa gesi na mwili kufa ganzi. Pia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Vipimo vya kinga ya mwili wako (immunity) kujua ni kiasi gani ulionayo Naomba kujua hivyo vipimo vipo? Na kama vipo kwa Dar vinapatikana wapi? Je, pana njia yeyote mbadala ya kujua kinga yako kwa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam wadau habari za usiku huu, Samahani Naomba wataalamu wa Afya wanijuze au Kunisaidia kiushauri kugundua tatizo nililokuwanalo Toka jana nahema kwa taabu sana yaani natoa hewa na kuingiza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Evidently, on social media, Tanzanians (and I think, for the most part, Africans) were having fun, cracking jokes, and singing songs to mock COVID-19, as of two to one week ago. Many of us have...
17 Reactions
0 Replies
2K Views
VIPIMO VYA KINGA YA MWILI WAKO (IMMUNITY) KUJUA NI KIASI GANI ULIONAYO Naomba kujua hivyo vipimo vipo? Na kama vipo kwa Dar vinapatikana wapi? Je, pana njia yeyote mbadala ya kujua kinga...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Maelekezo ni mengi na mazuri kabisa, na yamekuwepo hata kabla ya Corona mpya kusumbua watu. Namna inayoonyeshwa kwenye video ni nzuri sana, ila je ni watanzania wangapi wanaweza kumudu mfumo huo...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Tumekuwa tukidanganyika kuosha uke na sabuni eti ndio usafi. Jamani, uke unaoshwa kwa maji tu maana ndani ya uke kuna bacteria wazuri wanaolinda kuta za uke dhidi ya vijidudu hatari kama fungus...
12 Reactions
21 Replies
8K Views
Here a list of ten common habits that you might not realize are putting pressure on your kidneys. 1. Overusing Painkillers Over the counter pain medicines, such as NSAIDs...
8 Reactions
46 Replies
7K Views
Kwanza niwaombe moderators msiunganishe uzi huu. Kitaaluma mimi si daktari, ila kwa uelewa wangu wa jumla (general understanding) ni dhahiri kuwa haya nitakasema hapa watu wa kada ya afya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa hii homa inatokana na nini na anaeafectiwa anakuaje na ataponaje. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…