Je, kuna kipimo cha kujua ni kiasi gani cha kinga (immunity) unacho mwilini?

Silicon Valley

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
1,092
1,116
Vipimo vya kinga ya mwili wako (immunity) kujua ni kiasi gani ulionayo

Naomba kujua hivyo vipimo vipo? Na kama vipo kwa Dar vinapatikana wapi? Je, pana njia yeyote mbadala ya kujua kinga yako kwa usahihi?

Nadhani ni wazo zuri kujitambua kiasi gani una kinga na unaweza kuiongeza kwa namna gani.
 
VIPIMO VYA KINGA YA MWILI WAKO (IMMUNITY) KUJUA NI KIASI GANI ULIONAYO

Naomba kujua hivyo vipimo vipo? Na kama vipo kwa Dar vinapatikana wapi? Je, pana njia yeyote mbadala ya kujua kinga yako kwa usahihi?

Nadhani ni wazo zuri kujitambua kiasi gani una kinga na unaweza kuiongeza kwa namna gani.
Kama ni kinga unaongelea CD4 (wataalamu wa afya watanisahihisha) hiki kipimo kipo ila mara nyingi hutumika kwa watu wanaoishi na maambukizi ya VVU.

Ngoja waatalamu wa afya waje watie neno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom