Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 909
Habari wakuu!
Niingie moja kwa moja kwenye mada,
Mama yangu alikuwa na malaria alikunywa dawa mara baada ya kumaliza dose alipata tatizo la tumbo kujaa gesi na mwili kufa ganzi.
Pia anasumbuliwa na kidonda ambacho alikipata mara baada ya kukanyaga mwiba wakati yupo shambani.
Tulipoenda hospital baada ya vipimo alikutwa na H pylori positive akapewa Dawa
lakini leo ni Siku ya tatu tokea aanze Dawa hakuna unafuu wowote.
Naombeni ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app