Naombeni ufafanuzi juu hili swala kuhusu ULTRASOUND!

Source07

Senior Member
Oct 5, 2018
196
352
Habari zenu wanabodi!
Mojakwamoja niende kwenye jambo langu linalonitatiza mpaka nikaona bora nililete kwenu kwa maana nina amini kwenye msemo unaosema "problem shared problem solved"!
Hivyo basi wanabodi ningependa kujua machache kuhusu hii mashine ya ULTRASOUND kwenye ufanyaji kazi yake ikiwa ikitokea anaepiga hiyo picha ya Ultrasound ametoa ujauzito wiki moja nyuma either by miscarriage or by abortion.. Hivyo je kuna uwezekano wowote hiyo mashine kusoma na kutoa majibu yanayoonyesha mgonjwa ametoa Mimba?
Shida yangu nihiyo natanguliza shukrani kwenu!
 
Ukinyoa nywele leo upige picha inaweza kuonyesha afro uliyokuwa nayo jana? Ultrasound ni kama camera hivyo haiwezi kuinyesha kilicho kwisha toka.
Aisee Ahsante sana umenielimisha tena kwa mfano mujarab kabisa...heshima yako!
 
Back
Top Bottom