Safisha uke na maji tu

Safisha uke na maji tu

Dada Leti

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2019
Posts
286
Reaction score
401
Tumekuwa tukidanganyika kuosha uke na sabuni eti ndio usafi. Jamani, uke unaoshwa kwa maji tu maana ndani ya uke kuna bacteria wazuri wanaolinda kuta za uke dhidi ya vijidudu hatari kama fungus. Ukiosha kwa sabuni unaua wale bacteria.

Ndio maana wanaume wanalalamika kuwa wanawake wananuka kumbe sababu ni kuingiza sabuni na kemikali zisohitajika, matokeo yake wanapata fungus na mengineyo.

Mchana mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama nanliu huwa anasafisha uke wake kwa kuchanganya mgagani + nyanya mbivu + asali walau mara moja kwa mwezi - mnato wake sio wa kitoto. Siku nyinginezo husafisha kwa maji kama ulivoelezea
mgagani na nyanya vinaweza kuwa na dawa za asili za kuua bakteria. Mwambie aache kufanya hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhh.. mbaya hivyo. Mwambie atumie maji tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashindwa kukuelewa. We unacho hicho kitu unawafundisha wenzio namna ya kukitunza?? Uke hauoshwi!Kwa nini uuoshe?? Hata ukitawadha huingizi sabuni humo japo kilichopitapo kinanuka!! Sijui mmeleta wapi hii tabia ya kufua kila kitu.

Kama mmemaliza mechi zenu za kirafiki, Chukua khanga, futa taratiibu, laleni. Hao wazungu watatoka taratiib hadi asubuhi au baada ya muda flani. Futa tena. Waliobakia humo hufyonzwa na kuingia mwilini ka virutubisho na uanja mzuri wa hivyo vi bakiteria vyako hula vikaongezeka.

Tabia ya kuosha/kuifua ni uwenda wazimu. Nikimkamata may waifu wangu akiifua nadhani atanipeleka polisi. Kwa nini anichukie kiasi hicho atoe mbolea yangu niliyoiweka shambani?? Kitabu kitukufu kinasema; Mke ni shamba!!!!!!! Yaani, ninaweka/mwaga mbolea humo shambani mwangu. Full Stop.
 
mangatara,

[emoji1433][emoji1433][emoji1433] yes hupaswi hata kuweka maji. Futa tu lala. Au nawa kwa juu tu, mambo hujisafisha yenyewe. Mimi sijawahi nuka na sijawahi tia hata maji. Watu tunadanganyana.
 
Dada Leti,

Mambo ya uke siyajui lakini sehemu nyingi za miili yetu zinajinsi ya kujilinda na bado tunatumia chemicals ili ku-enhance usafishaji wa sehemu hizo. Mfano mdomo nao nadhani unao bacteria wake wa kuulinda lakini tunatumia dawa kuusafisha. Au nao tunakosea tuwe tunatumia maji tu kwa ufanisi zaidi?
 
[emoji1433][emoji1433][emoji1433] yes hupaswi hata kuweka maji. Futa tu lala. Au nawa kwa juu tu, mambo hujisafisha yenyewe. Mimi sijawahi nuka na sijawahi tia hata maji. Watu tunadanganyana.
Unaifua mpaka sabuni? Hii ni mbaya sana. Ukute uliyenanii naye ni mmeo. Hakuna undava ka huo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom