Naomba ufafanuzi juu ya hili suala la macho kuwa mekundu

Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,616
1,714
Habari,

Kuna swala huwa silielewi kwenye macho yangu,

Macho yangu huwa yana change color, yanakuwa red hasa kipindi nikiwa katika maandalizi ya kugegeda au katika tendi lenyewe.. ila baada ya mda fulani baada ya tendo, yana rudi katika hali ya kawaida.

Sasa sijajua , hii husababishwa na nini, na tiba yake ni ipi?

Yani, in short nikiwa kwenye mazingira ya kufanya mapenz, ndio hali inakuwa hivyo,

Karibuni.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Entreprenuare,
Huu ni ugonjwa uitwao "Mental Retardation." Unapatwa na hii hali ukiwa unajiandaa kugegeda kwa sababu unakuwa na wasiwasi sana wa kupata magonjwa ya zinaa,

hivyo akili yako inakuruka na kuwaza umepatwa na ugonjwa tayari umeathirika, macho yako yanakuwa mekundu yakiashiria kuwa unalia moyoni.

Ushauri, achana na zinaa.
 
mbongo_halisi,

Mimi sifanyi zinaa mkuu..

Na huo wasi wasi wa kupata magonjwa sina, nina mtu wangu permanently..

Na hiyo ya kulia moyoni, sijakupata fresh hapo..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom