Panic attack

Panic attack

Homa kivipi? Mkuu we pengine una ma hangover anxiety au depression
 
Tandika mtu Ngumi za kutosha mtoe meno ukipelekwa police wakakunyoosha itakua dawa ya milele ukipanic ukaukumbuka mnyoosho wa Police
 
Pole sana, kumbe ndio maana unampiga piga mtoto mpaka anakuogopa.
Jaribu kuwaona wanasaikolojia utapata tiba stahili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom