M Memew Member Oct 16, 2020 16 11 Jul 28, 2021 #1 Habari zenu, Naomba mnisaidie hili wakuu, mtoto kukojoa mara kwa mara kidogo kidogo inaweza kuwa tatizo ni nini?
Habari zenu, Naomba mnisaidie hili wakuu, mtoto kukojoa mara kwa mara kidogo kidogo inaweza kuwa tatizo ni nini?
M moondampwani JF-Expert Member Dec 4, 2014 535 169 Jul 28, 2021 #2 Memew said: Habari zenu, Naomba mnisaidie hili wakuu, mtoto kukojoa mara kwa mara kidogo kidogo inaweza kuwa tatizo ni nini? Click to expand... Apimwe Sukari
Memew said: Habari zenu, Naomba mnisaidie hili wakuu, mtoto kukojoa mara kwa mara kidogo kidogo inaweza kuwa tatizo ni nini? Click to expand... Apimwe Sukari
IvanAve Member Dec 14, 2019 44 24 Aug 2, 2021 #3 Nenda check Urinalysis RBG Possibility Urinary Tract Infection Diabetes Type 1 Diabetes Insipidus