Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Iwe kwa makusudi tu au kwa sababu ya mazingira magumu yanayomzunguka Mtu. Wapo wale ambao shughuli zao za kila siku hujumuisha kuzungukwa na Mtu au watu wengine,na isivyo bahati kitendo hiki cha...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Tarehe 11 mwezi wa 7 wife alianza period, na siku ya tatu akaanza clomid 50mg kwa siku 5 akinywa orally, sasa tukapin point siku za ovulation tukajamiiana kwa lengo la kupata mimba, sasa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wakuu, poleni na majukumu. Naombeni kujua kama Kuna uwezekano wa huyu Binti kupata ujauzito. Binti anasema mzunguko wake hubadilika japo kwasasa anasema ni siku 24 na anapata hedhi kwa...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Kila siku mpya ni kama nafasi ya pili ya kuandika maisha yako upya. Lakini swali ni, unapoamka asubuhi, je, unaanza siku yako kwa namna inayoilinda afya yako au unaiacha ianze kwa mazoea ya bahati...
6 Reactions
3 Replies
825 Views
🌱 FAHAMU KUHUSU KOMAMANGA 🌱 Tunda la komamanga (kwa Kiingereza pomegranate, jina la kisayansi huitwa: Punica granatum) ni tunda lenye nguvu kubwa ya kiafya na hutumika sana katika tiba za asili...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
🌳 FAHAMU KUHUSU MATOGHO 🌳 👉Matogho ni matunda yenye thamani kubwa sanaa kiafya na kiutamaduni. 👉Kwa kiingereza huitwa Goron Tula au snot apple, Kisayansi huitwa- Azanza garckeana . Pia hujulikana...
2 Reactions
2 Replies
374 Views
1. Pemba 2. Unguja 3. Shinyanga 4. Mbeya 5. Kondoa 6. Kagera Nb maeneo hayo Nimeyapanga kutoka juu kwenda kwenye unafuu. Mikoa hii hakuna wimbi la watu wanaonuka midomo hongereni 1. Kilimanjaro...
10 Reactions
75 Replies
3K Views
Salaam alaikum Wana Jambi... Mimi kijana mwenzenu middle of 30's watoto wawili ila mtihani mpaka sasa Kuna wanawake wengine wanne nshawapa ujauzito ndani ya miaka hii miwili, nahisi kuvurugwa...
2 Reactions
14 Replies
725 Views
Memory Re-writes To Treat Disorders Scientists have succeeded in conquering fear in human volunteers by "rewriting" their memories. The breakthrough follows similar results in animal...
1 Reactions
353 Replies
114K Views
Shinikizo la juu la damu (High Blood Pressure) ni hali ya msukumo wa damu kuwa juu kuliko kawaida kwa muda mrefu. Ni kweli mwili unahitaji msukumo huu ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa taka...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu watu wa Mungu na wadau wa jukwaa la afya, Mengi nmejfunza kupitia jukwaa hili! Naamini ntaendelea kujifunza zaidi, niende kwenyewe moja kwa moja. Wajuzi tujuzane, binafsi tangu...
8 Reactions
113 Replies
9K Views
Habari za majukum wanajamvi, Nielekee moja kwa moja kwenye mada, nimekua napatwa na maumivu makali sana ya kiuno na kwenye mishipa inayoenda kwenye korodani. Hali hii inatokea zaidi haswa baada...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
FIBROIDS:UVIMBE KATIKA KIZAZI UNAOWATESA WANAWAKE Katika siku za hivi karibuni,wanawake nchini wamekuwa wakilalamika kuwa kila wanapokwenda kujifungua basi hukutwa na uvimbe katika nyumba ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau wengi wamekuwa wakiumizwa na maradhi haya; hebu tuyaangalie kwa mapana yake: Asilimia kubwa ya Watanzania hawaujui vizuri ugonjwa wa UTI. Kumekwepo na maelezo kutoka kwa watu mbali mbali...
4 Reactions
1K Replies
627K Views
Habari Wana JF natumaini muwazima Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32 nasumbukiwa na maumivu ya kiuno sana mpaka yanapelekea nakosa hisia kwa shemeji naombeni dawa zakunisaidia kwani, CHANZO...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Asubuhi nikiwa baharini kwenye shughuli zangu nilipatwa na kiwashi, ni kiwashi cha rangi ya njano ambacho hujificha kwenye mwani wa bahari. Nimeenda Duka la dawa nikapewa dawa aina tatu zote...
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Habari wadau nina tatizo unaenda mwaka sasa linanisumbua huu upande wa kulia kuna mabadaliko yani tatizo huwa linanianza ikifika mida ya jioni naanza kusikia maumivu upande kiuno kukaza mpaka...
1 Reactions
1 Replies
865 Views
Wadau nimekuwa muhanga wa tatizo Hilo tangu nikiwa balehe mpaka Leo hii nikiwa na umri wa miaka 27. Huwa janga hili linajitokeza mara Kwa mara nasikia uchungu sana haswa kwenye korodani Moja tu...
1 Reactions
1 Replies
446 Views
Unapaswa kujua kwamba Viagra haiongezei libido au kushughulikia sababu za kisaikolojia zinazokusababishia uwezo mdogo wa kudinda. Viagra (sildenafil) haikufanyi "udumu zaidi" moja kwa moja kwa...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Wanaume wengi wanapopoteza nguvu za kiume hudhani ni tatizo dogo la kawaida au la kiumri, lakini ukweli ni kwamba mara nyingi lina uhusiano wa moja kwa moja na magonjwa ya moyo. Zaidi ya viungo...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom