Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wanaume wengi wanapopoteza nguvu za kiume hudhani ni tatizo dogo la kawaida au la kiumri, lakini ukweli ni kwamba mara nyingi lina uhusiano wa moja kwa moja na magonjwa ya moyo. Zaidi ya viungo...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wizara ya Afya imetoa maelekezo ya njia bora ya kutibu jino lililotoboka/kuoza badala ya kukimbilia kuling'oa. Jambo linalowafanya watu wengi wakimbilie kung'oa jino ni maumivu makali waliyoyapata...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanaume wengi hupoteza nguvu za kiume si kwa sababu ya uzee pekee, bali kwa sababu ya magonjwa ya mwili. Ukweli ni kwamba, zaidi ya viungo 50 vya mwili vinashirikiana ili kuhakikisha uume...
1 Reactions
1 Replies
786 Views
Nimeziba jino mmoja ya hospitali hapa mjini sio vizuri kuitaja jina kwa sababu nitaharibu biashara ya watu wakaikimbia Dar. Jino langu nimeziba zaidi ya mwezi wakuu siku ya kuziba nilichomwa...
1 Reactions
53 Replies
15K Views
Naitaji msaada, mwenye kujua tiba ya H. pylori nipo katika dozi ila bado nateseka natumia helgo kit namaliza jumamosi mwenye kujua tiba anisaidie.
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Nilipata maumivu ya jino yaliyopelekea sikio kuuma na kufika baadae nikapata kama presha katika sikio, ile hali kama kuna kitu sikioni au maji hivi. Ni siku mbili sasa jino limepona kelele...
3 Reactions
7 Replies
557 Views
Ni Ugonjwa wa akili ambapo mtu anaiga kuwa ana maisha mazuri au ana mali wakati kiuhalisia hana.. unajulikana kama Delusion of Grandeur. Delusion of Grandeur ni aina ya ugonjwa wa akili (kama...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Msongo Wa Mawazo Ni Nini? Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku. Kwa kawaida mtu...
0 Reactions
6 Replies
831 Views
Unataka kupunguza uzito, kuondoa kitambi, au kuhakikisha mwili wako hauongezeki tena? Soma kwa makini maelezo haya, kisha chukua hatua leo. Njia ya Asili Baada ya chakula cha jioni (saa 2–3...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili. Jamani mtoto wangu ana tatizo la kikohozi kisichopona.Nimejaribu kumpa kila aina ya dawa ninazoshauriwa na madaktari matokeo hupata nafuu kwa wiki moja tu...
0 Reactions
164 Replies
218K Views
Wakuu na wataalam je zipo kweli na zinafanya kazi ? Maana nahitaji ya cholestrol na Pressure
0 Reactions
2 Replies
453 Views
Wakuu karibuni, Yaani hapa ninapoandika amekutwa tena ya Uti baada ya kumaliza dawa wiki iliyopita ya kutibu uti hio hio. Pia soma: Je, UTI ni ugonjwa wa ngono?
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Jamii imetakiwa kuacha tabia ya unyanyapaa kwa waathirika wa ugonjwa wa Ukimwi hususani vijana. Badala yake iwape ushirikiano ili kuwafanya wajisikie vizuri pamoja na kupata nafasi ya kuonyesha...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
JF Doctors, Greetings. Kuna wakati flani 2011 nilifanyiwa Orthopaedic Surgery, to be precise ORIF(Open Reduction Internal Fixation)- yaani niliwekewa vyuma (metallic plates) katika mkono wangu...
0 Reactions
1 Replies
712 Views
karibu tufanye biashara.
1 Reactions
7 Replies
287 Views
Habarini wapendwa, naombeni msaada wenu, kipindi cha nyuma mimi niliwahi kusumbuliwa na tatizo la umeng'enyaji chakula, nilikuwa najisaidia choo kigumu sana, nikaambiwa na doctor kuwa nina tatizo...
5 Reactions
51 Replies
5K Views
If you’re bothered by how much you sweat, you’ve likely tried many different brands of deodorant with no success. Excessive underarm sweating can be uncomfortable, but it doesn’t have to be...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari, Nimeleta huu mjadala kwa kuwa hofu imejengeka miongoni mwetu hasa linapokuja suala la kunywa mchanganyiko wa asali na limao. Wakati nina kua nilipata kusikia haya na ilifika wakati nikila...
1 Reactions
12 Replies
866 Views
Jana nilienda hospitali moja kubwa hapa jijini Dar.Nilikuwa nasumbuliwa na homa ikiambatana na maumivu ya mara kwa mara ya tumbo.Kwa maelezo ya Dr. ilibidi aniandikie kipimo flani hivi kinaitwa...
13 Reactions
100 Replies
30K Views
Habari za humu wataalam, kwa muda mrefu ninasumbuliwa na maumivu eneo la moyo(kifuani upande wa kushoto) yakielekea upande wa nyuma kwenye bega. Maumivu hayo sasahivi yanafika hadi shingoni.
7 Reactions
78 Replies
41K Views
Back
Top Bottom