Napata maumivu upande wa moyo, hizi ni dalili za ugonjwa gani?

Nilikuwa na shida hiyo na dalili zilikuwa hizo,kuna Uzi nilileta humu,nilipoenda hospital niliambiwa moyo unetanuka.Ni shida ya moyo mkuu ila kwa uhakika nenda hospital ukafanye vipimo.
Asante mkuu, kwahiyo nitapona kabisa?
 
Habari za humu wataalam,

kwa muda mrefu ninasumbuliwa na maumivu eneo la moyo(kifuani upande wa kushoto) yakielekea upande wa nyuma kwenye bega.

Maumivu hayo sasahivi yanafika hadi shingoni.
Heart Attack

Kama umeachwa au kuna kitu kimekuumiza hivi karibuni achana nacho. Hii kitu ilinikuta last year nilikuwa nimeachana na kidemu fulani. Sasa jana kumbe nilikuwa nakipenda sana.

Nilianza kutokewa na dalili hizi ulizomention nikaenda kumwona daktari akanishauri tu nijichanganye na watu, niwe mtu Mwenye kufuatilia burudani nk.

Lakini pia akaniambia nifanye zoezi la kuingiza hewa ndani na kuitoa(breathing).

Jaribu itasaidia. Muone Daktari atakusaidia zaidi.
 
Back
Top Bottom