Utaratibu wa kupima Corona, suspect wote HAWAPIMWI ila wanatibiwa dalili, usipoonyesha dalili ndani ya siku 3 home you GO

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,568
2,000
Hivi ndivyo serikali inavyocheza na moto!

👉Suspects wote wenye mild symptoms HAWAPIMWI 🦠badala yake watatibiwa hizo symptoms na kurudi home
👉moderate to severe watatibiwa then wasipoonyesha dalili yoyote kwa siku 3 wataruhusiwa kwenda home
👉wamesahau asymptomatic!

IMG_20200504_124627.jpg
 
Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
7,741
2,000
Hakuna ubaya ukizingatia hakuna tiba ya virus hao wa corona duniani.

Lakini pia ni muhimu kuwaambia hawa infected asymptomatic ili wajikinge ili wasiambukize waengine.

Wapo wanaopata maambukizi na wana immunity nzuri, hao hawa hugui na lakini wanaambukiza wengine.

Kupimwa kujua kama una maambukizi ni vizuri ili uchukue necessary precautions kama kuvaa mask na kuepuka misongamano, na kujitenga nyumbani ili usiambukize wale wengine wanaoweza kupata athari za ugonjwa na kupelekea wao kufariki.

Ukiona dalili kapimwe, na ukiwa na maambukizi chukua tahadhari kuzuia familia yako na wengine wanaoweza kuambukizwa na kwakua na immunity ndogo au magonjwa mengine ukawa umewasababishia vifo.

Ukijilinda unatulinda sisi na kuilinda jamii inayokuzunguka.
 
Shepherd

JF-Expert Member
Dec 14, 2012
2,215
2,000
Hivi mtu mwenye Chumba na Sebule na ana Familia atajitengaje kwa mazingira ya mjini
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
15,475
2,000
Hapa tutarusha maneno wee lakini ukweli unabaki palepale. Huu ugonjwa ni mgeni na mpya kwa wote, bado wanausoma na kujifunza waone namna gani ya kukabiliana na athari zake.

Kama wataalam wetu wameweza kuja na huu mpango na muongozo, tupendekeze namna ya kuboresha.
 
Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
2,998
2,000
Asante, umeleta ufafanuzi mzuri sana. Na hivyo ndivyo ilivyo, sio kuwafungia watu bila utaratibu wakati wapo kwenye MILD CASE.
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
7,969
2,000
Hivi ndivyo serikali inavyocheza na moto!
👉Suspects wote wenye mild symptoms HAWAPIMWI 🦠badala yake watatibiwa hizo symptoms na kurudi home
👉moderate to severe watatibiwa then wasipoonyesha dalili yoyote kwa siku 3 wataruhusiwa kwenda home
👉wamesahau asymptomatic!

View attachment 1439510
Mbona huyo mchoro unajiekeza wenyewe na un
Hivi ndivyo serikali inavyocheza na moto!
👉Suspects wote wenye mild symptoms HAWAPIMWI 🦠badala yake watatibiwa hizo symptoms na kurudi home
👉moderate to severe watatibiwa then wasipoonyesha dalili yoyote kwa siku 3 wataruhusiwa kwenda home
👉wamesahau asymptomatic!

View attachment 1439510
Sijaona mkanganyiko wowote wa wewe kudai Serikali inachezea moto. Mchoro huo ukifuatwa inavyotakiwa una maelekezo ya kiafya yanayojitosheleza. Isitoshe aliyepimwa naamini anajitambua kuwa usalama wa maisha yake yako mikononi mwake.
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,275
2,000
Hivi ndivyo serikali inavyocheza na moto!
👉Suspects wote wenye mild symptoms HAWAPIMWI 🦠badala yake watatibiwa hizo symptoms na kurudi home
👉moderate to severe watatibiwa then wasipoonyesha dalili yoyote kwa siku 3 wataruhusiwa kwenda home
👉wamesahau asymptomatic!

View attachment 1439510
Mpangaji wa chumba kimoja mwenye familia atajitengaje awapo nyumbani kwake? Mild case ni zipi? Mimi sina dalili yoyote ila natamani kufahamu kama nina maambukizi au la. Sababu ya kutakuwa kujua ni kuwa kuna mdogo wa rafiki yangu alibanwa katika upumuaji na ndani ya masaa manne akawa amefariki; hakuwa na dalili zozote za CORONA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom