kupoteza fahamu wakati wa sex kuna athari?

Kadudu

Member
Mar 22, 2008
71
10
jamani naombeni mnisaidie coz sijui na kuuliza sio ujinga.my wife anapofikia kilele wakati tuna do huwa anapoteza fahamu kwa muda mpaka nimpepee au nimfutefute usoni kwa kitambaa chenye maji ya baridi.swali je hali hii haina athari yoyote pale ntakapompregnant?ni ikumbukwe kuwa hana tatizo lingine la kiafya,naomba kutoa hoja........asanteni
 
Pole sana. Mmewahi kwenda kwa daktari awashauri? Naona kuwa ni abnormal unless ana hypotension (low blood pressure)? Pia tatizo lilikuwepo au lilianzaje?
 
Bado hatujamuona daktari ingawa tumepanga siku moja tukapate ushauri wake,hypertension hatujawahi kupata ingawa ni mda mrefu hatujacheki,mwanzoni alikuwa anafika orgasm kawaida tu lakini nowdays ndo hivyo sasa sijui nazidisha manjonjo wakati wa kunanihii...au ni nini sijui.ndo maana nauliza
 
Ni tatizo la upungufu wa Oksijeni hilo......muone mtaalamu akupe some alternatives za kubalance "manjonjo" na afya ya shemeji.
 
Nadhani vizuri mkaenda kumwona Daktari sidhani kama hiyo ni khali ya kawaida!
 
Mi nahisi kama unazidisha manjonjo kwa maana kitu kama hicho huwa kinatoke kwa mda wa dakika chache mno usio zidi hata dakika mbili mpaka umstue kiaina then anastuka na mnaendelea na mavitu.Ila si mbaya kama utakwenda kumuona Dk. ili awape ushauri ila sidhani kama litakuwa ni tatizo
 
jamani naombeni mnisaidie coz sijui na kuuliza sio ujinga.my wife anapofikia kilele wakati tuna do huwa anapoteza fahamu kwa muda mpaka nimpepee au nimfutefute usoni kwa kitambaa chenye maji ya baridi.swali je hali hii haina athari yoyote pale ntakapompregnant?ni ikumbukwe kuwa hana tatizo lingine la kiafya,naomba kutoa hoja........asanteni
Hana tatizo lingine la kiafya isipokuwa hilo ulilolitaja, tafadhali nenda kwa watalaam wa afya upate ushauri wa kitaalam.
 
mi naona ananogewa tu hiyo kitu inaonekana anaipata kwa utamu hadi moyoni kama anazimia na hafi basi raha tuu.
 
Bado hatujamuona daktari ingawa tumepanga siku moja tukapate ushauri wake,hypertension hatujawahi kupata ingawa ni mda mrefu hatujacheki,mwanzoni alikuwa anafika orgasm kawaida tu lakini nowdays ndo hivyo sasa sijui nazidisha manjonjo wakati wa kunanihii...au ni nini sijui.ndo maana nauliza

Sio hypertension (high blood pressure) ni hypotension (low blood pressure). All in all upo umuhimu wa kumwona daktari!
 
Nendeni mkapime msifikirie kuwa ni utamu tu. Utamu au raha inatakiwa iwe kwa kulia kwa utamu au hata kumuona anaumia kwa utamu lakini siyo kuzimia. Inaweza kuwa ugonjwa ambao in the long run unaweza kuwapeleka pabaya. Lazima pia kumuuliza yeye huwa anajisikiaje? tuache kufikiria kuwa ni raha tu.Lazima pia mwenyewe hujiulize raha gani hiyo ya mtu kuzimia na kuanza kumpepea ukiwa na wasiwasi wa hali ya juu. Ila cha kushukuru ni mkeo na siyo hawara au mpenzi wa kuiba iba
 
Namie nataman niwe nafika orgasm.
Baba Deborah sijui siku hizi amekuaje!
Mhh umeenda kuufukunyua uzi wa mwaka 2009 hahha, bila shaka umetamani sana..

Ila nimependa sana namna ambavyo zamani watu walikua wana reply na kutoa ushauri, yan hakuna kebehi wala kusemana..

Huu uzi ungekua wa miaka hii ya 2018+ aisee ungeshangaa hizo comment
 
Back
Top Bottom