Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Nimekutana na kijana barabarani, kachuchumaa, akilalamika maumivu upande wa kushoto chini ya mbavu. Baada ya kumpa maji na kumketisha, maumivu yalipungua haraka. Nikamuuliza swali moja tu: “Je...
3 Reactions
3 Replies
540 Views
Wanaume wengi hutamani kuongeza ukubwa wa uume, lakini ni muhimu kutofautisha ukweli, utapeli na mbinu salama. Nb: Hapa tunazungumzia kunenepesha (kibamia - neno la mtaani) sio stamina 🔥, pre-...
1 Reactions
2 Replies
703 Views
Habari za usiku wa jf usiku huu mwenzenu nashindwa kulala naombeni dawa ya kichomi ni dawa gani unitumie Maana sijawahi umwa kichomi hivi
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini naona kama macho yake hayako sawa! Kuna mtu kaniambia unamuwekea poda chini ya macho itarekebisha….Lakin napata wasiswas Nimejaribu kugoogle mtandaoni lakini...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Homa ya ini ni ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya Virusi ambavyo vikishaingia mwilini hushambulia ini kabla ya kugeuka maradhi Sugu! Virusi hivyo kitaalamu vinaitwa Hepatitis B Virus (HBV) Virusi...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Madawa ambayo yanaweza kusababishia uharibifu wa figo Kuna orodha ndefu ya madawa yanayotumiwa na binadamu ambayo yanaweza kuharibu figo, hizi ni aina tofauti za dawa ambazo zinaweza kuharibu...
2 Reactions
12 Replies
8K Views
Wakuu habari zenu wakuu naomba ni share hali yangu japo nipate hata faraja maana naona naweza kupata ugonjwa wa moyo siku siyo nyingi mimi ni binti wa miaka 25 Mwaka 2017 nikiwa kidato cha nne...
21 Reactions
87 Replies
5K Views
Habari wana JF. Naombeni ushauri ninatatizo la kucha za vidole gumba toka mwaka 2015 October. Nimeshazunguka hospital nyingi hapa Dar es salaam na hata kufanyiwa upasuaji mdogo lakini tatizo...
0 Reactions
27 Replies
13K Views
Habari za wakati huu, kama headline inavyoeleza. Naenda kwenye mada 1/1. Wanaume Wanaweza Kufanya Nini ili kukabiliana na changamoto hizi? Wanaume wanaweza kufanya mabadiliko kadhaa katika maisha...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Hbr zza usku wajameni ninaumwa kichwa ambacho hakiskii dawa wala chochote hadi sa nyingne nashindwa kuongea wala kula mnisaidie, sjui tatizo n nn? Msaada nifanyeje ama nina ugonjwa unaosababisha...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Kinywaji cha Asili cha Kuongeza Nguvu na Hamu Viungo: Asali vijiko 2 Tangawizi safi kijiko 1 (iliyokunwa) Kitunguu swaumu punje 2 (zikachunwacho vizuri) Juisi ya tikiti maji kikombe 1...
3 Reactions
10 Replies
797 Views
Binafsi Sina zoezi lingine lolote ninalolifanya zaidi ya kutembea. Zoezi hili ni miongoni mwa mazoezi Bora, huimarisha afya ya akili, mwili na roho pia. Nakukaribisha kwenye ufanyaji wa zoezi hili...
0 Reactions
6 Replies
390 Views
Dr mponzi kama unachangamoto ya vipele kisogoni tafadhari wasiliana nami kwenye namba hii 0655928180
1 Reactions
4 Replies
507 Views
Upande wa chini wa kinywa maeneo ya gego(meno makubwa) upande wa kushoto chini , ninapata maumivu makali sana , leo usiku sijalala kabisa , ni tiba ipi inafaa
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu..msaada wa kumuangamiza huyu "Candidas Auris" amekuwa akimsumbua mke wangu yapata miaka mitatu sasa tangu ajifungue kwa kisu...anatibiwa anaonekana kupona lakini baadaye...
1 Reactions
8 Replies
589 Views
Hello! Habari zenu, tafadhari naomba kwa mtu yeyote anayefahamu datrari bingwa anipatie maelekezo maana nina tatizo hili na nimeshafayiwa operation mara moja bila mafanikio. Au kwa yeyote...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wagonjwa wa kifua kikuu (TB) hupitia mateso makubwa ambayo mara nyingi jamii haioni. Si kwamba wanapenda kuacha dawa au kuzembea matibabu yao bali mara nyingi huzuiliwa na hali halisi ya maisha...
3 Reactions
11 Replies
550 Views
Habari za wakati huu. Nimeanzisha thread hii ili kutoa elimu ya mtindo wa maisha, kuelezea matibabu ya tiba lishe asili, mitishamba na huduma binafsi unayoweza kupata toka kwangu. Nitakua na...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari Wakuu Ninaomba msaada wa kupata daktari wa Jadi ambaye anaweza kumsaidia ndg yangu ambaye kwasasa ni kama amekata tamaa kabisa kutokana na kuhangaika pasina kufanikiwa. Historia yake fupi...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa nimekosa amani tangu jumanne ilikuwa hivi, nililala usiku nikaota ndoto nimepooza upande wa kulia, Lakini ile kustuka kweli ule upande wote ulikuwa umepooza. Nilikuwa na kiu...
2 Reactions
6 Replies
398 Views
Back
Top Bottom