Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Naombeni msaada wa haraka kwa kunipatia ratiba ya wiki yaani j3 hadi j2 niweze kumpangia ni lishe gani itakayo msaidia. nawasilisha ombi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habarini za muda sana jf ni matumaini yangu mko salama!! Nilikua Nina shida katika mwili wangu ambalo limenipelekea kuwaza sana. Natatizo au matatizo yenyewe nihaya nahitaji ufumbuzi kidogo...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habarini za asubuhi wakuu Kuna dada kaja niomba msaada akitumaini naweza msave kutokana na mama kuwa mjuzi kwenye mambo ya uzazi wa kiasili nikaona itakuwa poa kama ntashare tatizo hilo tuweze...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Zenu wandugu! Nina kijana wangu ni rafiki yangu sana! Amekumbwa na dalili zifuatazo. 1. Anaumwa na kichwa sana. 2. Anapoteza kumbukumbu. 3. Highly attract negative thoughts. 4. Anasikia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu naomba mumsaidie mdogo wangu anasumbuliwa na kidonda kwenye kichwa cha uume. Kilianza kama ngozi iliyobabuka au fungus, kukojoe huku anasikia raha na muwasho, lakini sasa kuna kidonda...
0 Reactions
44 Replies
31K Views
Habari wakuu, Kama mada inavyoeleza nina tatizo la vidonda mdomoni hasa kwenye ulimi. Umechubuka kiasi kwamba napata wakati mgumu kunywa chai yamoto au yenye tangawizi na pia vyakula kama dagaa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu natumai ni wazma kabisa, Tatizo lililonifanya kuandika uzi huu ni shida ambayo huwa inanitesa sana na sijui tatizo ni nini? Iko hivi, mashine inapo simama huwa naona kawaida mpaka inakuja...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Napenda kuuliza kwamba kama kuna umuhm wa kujua blood group la mke wangu kabla hatujaoana.
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Msaada. Nina tatizo la kukojoa Sana usiku. Kuliko mchana tofauti na apo awali kwa usiku mmoja naweza amka kukojoa ata Mara 7 au 8. Na nikianza hivyo naanza kujihisi kiu ya maji na nikinywa basi...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Faida Ya Mafuta karafuu ni dawa kwa ajili ya kuchua misuli, wakati mwingine inatumika kama kiungo kwenye chakula na chai lakini pia karafuu ambayo hajasagwa inaweza kutumika kama dawa ya tumbo...
0 Reactions
3 Replies
27K Views
Kuna Rafiki yangu amegombana hadi kafikia kumpa talaka mkewe kisa tu ana maambukizi ya VVU... Ilivokuwa Rafiki yangu ananisimulia kuwa mke wake wakati ana Mimba aligundulika ana VVU mimba...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Naombeni kuuliza kwa wale wenye uzoefu na professional ya Docta nina ndugu yangu ni mgonjwa wa akili na hii imetokana baada ya kujijua ana HIV usiku huwa anasumbua sana anawasha moto vitu na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau wote humu ndani. Swali langu ivi alama ya mistari kwenye kucha kama hivo kwenye picha huwa shida ni nini au inatokana na nini. Naomba kujua Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Habari wakuu Katika mazungumzo yetu leo na mchumba nilimsikia akidai rafiki yake kamwambia eti akiwa anajua anaenda kusex basi ameze Ampicillin kwa ajili ya kuzuia ujauzito. Eti magwiji yuko sawa?
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Ndugu naombeni mnisaidie nifanyaje, Nina ndugu yangu ana mtoto wa miezi Sita leo ameanguka kutoka kwenye kochi mpaka kwenye tiles na kaangukia kisogo mama yake hajiwezi Kwa kilio niko hapa na...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Habarini wanaJamii! Samahani naomba kujulishwa inapopatikana tiba ya njia ya Ozone. Ozone ni oksijeni yenye O tatu. Tiba hii inapatikana wapi kwa sasa, zamani ilikuwa inapatikana hospitali ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Habari za leo! Mimi ni Mwanaume. (angalizo!) Katika kipindi cha wiki tatu za karibuni nimekuwa nikisikia maumivu usawa wa kitovu upande wa kulia. Maumivu hayo yanaongezeka zaidi nikitembea au...
0 Reactions
53 Replies
10K Views
  • Closed
Habari. Katika wiki tatu zilizopita nimekuwa nikihisi sauti ya "kaaa" sauti mfano wa mvunjiko wa mfupa shingoni upande wa kulia. Hulia kila ninapotoa pumzi nje hususani kwa nguvu ingawaje hata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwanaume hutakiwi kucheza mbali na hizi mbogamboga kama unahitaji kuwa na risasi za kutosha kwa ajili ya bunduki yako. Je, nini kifanyike kuwa na sperms za kutosha? Fanya mazoezi mara kwa mara...
10 Reactions
15 Replies
30K Views
  • Closed
Hello Guys, My mother is dying of Cancer. We tried everything we possibly could, but today we have been told by the Doctors that she will likely die within two/three days. It feels like a...
46 Reactions
415 Replies
46K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…