charlesfundi
Senior Member
- Jun 5, 2017
- 197
- 242
Habarini za muda sana jf ni matumaini yangu mko salama!! Nilikua Nina shida katika mwili wangu ambalo limenipelekea kuwaza sana. Natatizo au matatizo yenyewe nihaya nahitaji ufumbuzi kidogo.
Nilikuwa na girlfriend baada ya kukutana kimaumbile baada ya muda kama week nilianza kujihisi kwenye uume kwa chini namaanisha huu mrija unaopitisha kila kitu mkojo na sperms nikiuminya uume kwa chini kwenye huo mrija napata maumivu nikatulia kwa baadae nikaanza Ku discharge vitu Fulani vyeupe nikawa nakunywa maji sana lakini nikikojoa sipati maumivu mkali ni ya kawaida.
Nikamueleza jamaa yangu mmoja ni medical lab akaniambia unaweza kuwa go norhea nikaanza kuchoma sindano za power safe kibaya zaidi tatizo halikuisha ikabidi nibadili dawa nyingine na nikachoma sindano moja tu nikaambiwa nikali sasa baada ya kuchoma hiyo sindano ule uweupe weupe uliisha cha kushangaza baada ya muda nikaanza Ku discharge ule ute mlaini ambao humtoka mwanaume kabla ya kuanza tendo. Sasa nikabaki njia panda maana hapo nilikuwa naendelea na dose ya maradhi mengine kama malaria,typhoid na blucella niporudi kwa Mtaalam akanambia kwa sababu izo unazotumia pia ni strong antibiotic angalia hali itakuaje.
Sasa shida imekuja hapa ambapo uume umelegea sana hata kuwe na sensation yoyote hausimami alafu moja ya korodani linakuwa kama livuta hivi halina maumivu yoyote sema linavuta afu nakua nahisi kukojoa Mara kwa Mara naombeni msaada ndugu zangu niondokane na hii shida na uume umekua mdogo sana laini.
Natanguliza shukurani NB: nimekuwa nikifanya masterbation kwa muda mrefu kidogo.