Msaada: Nina tatizo la kukojoa mara nyingi zaidi muda wa usiku

Ibrahim. H

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
316
92
Msaada.

Nina tatizo la kukojoa Sana usiku. Kuliko mchana tofauti na apo awali kwa usiku mmoja naweza amka kukojoa ata Mara 7 au 8. Na nikianza hivyo naanza kujihisi kiu ya maji na nikinywa basi hali itazidi kuendelea hivyo hivyo hadi. Kunakucha.

Naomba ushauri kwa mwenye uelewa niondokane na hali hii
 
Msaada. Nina tatizo la kukojoa Sana usiku. Kuliko mchana tofauti na apo awali kwa usiku mmoja naweza amka kukojoa ata Mara 7 au 8. Na nikianza ivyo naanza kujihisi kiu ya maji na nikinywa basi hari itazidi kuendelea hivyo hivyo hadi. Kunakucha. Naomba ushauri kwa mwenye uelewa niondokane na hari hii
Kwanza una umri gani? Maana kama umri mkubwa inawezekana ni dalili za kupanuka kwa tezi dume .

Dalili za kupanuka kwa tezi dume
Dalili huonekana baada ya umri wa miaka ya hamsini . Karibu wanaume wote wenye umri wa sabini na themanini huwa na tatizo hili.Dalili huanza polepole na kuzidi jinsi miaka inavyoongezeka.Dalili hizi ni kama zifuatazo:

  • Kukojoa mara nyingi hasa nyakati za usiku.Hii ni dalili ya mapema sana.
  • Kulazimika, mara nyingi hasa nyakati za usiku, kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka. Hata pale mgonjwa anahisi kibofu kimejaa. Hii ni dalili ya mapema sana.
  • Mkojo kutiririka polepole, hukatikakatika na hutumia nguvu kutoka.
  • Mkojo kushidwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa.
  • Mkojo kuendelea kutoka kidogokidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo huendelea kutoka hata baada ya kukojoa hivyo nguo za ndani hulowa.
  • Kibofu hakiishi mkojo.
Au Kisukari.....

Bottomline Nenda kwa daktari.
 
Nishapima zaidi ya hospital 2 mwezi huu ila majibu yakatoka nipo vizuri
Chukua ushauri wa Retired hapo juu. Nikiwa hi kukaa na mama wa Kijamaika alinieleza kuwa matango haya tunayokula kwenye salad yana antidot ya tezi dume.

Alisema kwao huwazoesha vijana tangu umri wa bale he kula angalau tango moja kwa siku. Alikwenda mbali na kuniambia kama una mgonjwa chukua matango 3-5 saga kwenye blender Kanis moe juice anywe kila siku.
 
Chukua ushauri wa Retired hapo juu. Nikiwa hi kukaa na mama wa Kijamaika alinieleza kuwa matango haya tunayokula kwenye salad yana antidot ya tezi dume. Alisema kwao huwazoesha vijana tangu umri wa bale he kula angalau tango moja kwa siku. Alikwenda mbali na kuniambia kama una mgonjwa chukua matango 3-5 saga kwenye blender Kanis moe juice anywe kila siku.
Aksante kwa ushauri tajitahidi kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom