Naomba kujuzwa sababu za alama za mstari kwenye kucha

othumani kaka

Member
Apr 3, 2020
16
5
Habari wadau wote humu ndani.

Swali langu ivi alama ya mistari kwenye kucha kama hivo kwenye picha huwa shida ni nini au inatokana na nini.

Naomba kujua
IMG_20200512_143659.jpg
IMG_20200512_143621.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana ndugu, Check na HIV kwanza mana ni kati ya dalili mojawapo ya huo ugonjwa.
 
Back
Top Bottom